YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Uongo mtupu sekta binafsi ndiko hulipwa kwa Massa kutegemea aina ya kazi watu kama walimu Wa shule na vyuo binafsi hulipwa kwa mwezi na makampuni kibao binafsi wafanyakazi wataalamu hulipwa kwa mwezi .mwongo mkubwa usiye na haya unataka kusem wanajeshi ,polisi,nk Wa marekani hulipwa kwa Massa?State
Mpumbavu mkubwa Wewe.Hakuna kitu kama hicho