Sawa kabisa.Serikali inatakiwa ibadili mfumo mzima wa maisha ya nchi hii na kwa wananchi wake.
Hiyo mambo ya mwisho wa mwezi ni zilipendwa. Tumeshiklia kanuni za mkoloni zile zile kubadilika hatutaki.
Serikali haina plan B miaka nenda miaka rudi.
Sahiv watu wanajifanyia kazi kwa mazoea tu na si kwa kujituma huku wakijua mwisho wa mwezi mshahara utaingia tu.
Badiliko dogo kama hilo nchi inashindwa ndo mana hatuendelei tunabaki kunga'nga'na na wapinzani,huku chama tawala kikiwa hakina mbele wala nyuma.
Ndo maana hatuwezi endelea, vile tunanyonyana wenyewe kwa wenyeweAssume kwamba una mshahara wa 540,000/= gross (kima cha kati).
Kwa wiki 45 hours, kwa mwezi 180 to 200 hrs.
Now: 540,000/180 = 3,000 kwa saa (gross).
Ukiweka makato ya PAYE, NSSF, HESLB, NHIF nk net itakuwa around 1,700 kwa saa. Hii itasababisha watu washtuke kwamba wanalipwa kidogo sana.
Maana mtu ukichukua hiyo 1,700 ukazidisha kwa masaa 9 unapata almost 15,300 kwa siku. Imagine, ni business ngapi mtaani unaweza kutengeneza kiasi hiki kwa siku? Mind you, hii ni revenue, siyo profit.
Nchi gani duniani ambako wafanyakaxi Wa serikali hulipwa kwa Masaa badala ya mwisho Wa mwezi? Tupe mfano mmoja tu
Wazo la kijinga tu hili hamna kitu .Wazo zuli tatizo litakuja kwenye utekelezaji.
Nchi gani ambayo raia wote wanalipwa kwa saa?Serikali inatakiwa ibadili mfumo mzima wa maisha ya nchi hii na kwa wananchi wake.
Hiyo mambo ya mwisho wa mwezi ni zilipendwa. Tumeshiklia kanuni za mkoloni zile zile kubadilika hatutaki.
Serikali haina plan B miaka nenda miaka rudi.
Sahiv watu wanajifanyia kazi kwa mazoea tu na si kwa kujituma huku wakijua mwisho wa mwezi mshahara utaingia tu.
Badiliko dogo kama hilo nchi inashindwa ndo mana hatuendelei tunabaki kunga'nga'na na wapinzani,huku chama tawala kikiwa hakina mbele wala nyuma.
Hata wafanyakazi Wa chadema hawalipwi kwa masaa hulipwa kwa mwezi hilo unaliongekeaje?Serikali inatakiwa ibadili mfumo mzima wa maisha ya nchi hii na kwa wananchi wake.