mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Nchi gani duniani ambako wafanyakaxi Wa serikali hulipwa kwa Masaa badala ya mwisho Wa mwezi? Tupe mfano mmoja tu
Wazo la kijinga tu hili
Kwakweli mfumo wa malipo kwa mwezi hapa bongoland unaruhusu watumishi wengi wa umma 'kuvuna bila kupanda'.Serikali inatakiwa ibadili mfumo mzima wa maisha ya nchi hii na kwa wananchi wake.
Hiyo mambo ya mwisho wa mwezi ni zilipendwa. Tumeshiklia kanuni za mkoloni zile zile kubadilika hatutaki.
Serikali haina plan B miaka nenda miaka rudi.
Sahiv watu wanajifanyia kazi kwa mazoea tu na si kwa kujituma huku wakijua mwisho wa mwezi mshahara utaingia tu.
Badiliko dogo kama hilo nchi inashindwa ndo mana hatuendelei tunabaki kunga'nga'na na wapinzani,huku chama tawala kikiwa hakina mbele wala nyuma.
Kumbuka kwenye hiyo15300 huyo mtumishi lazma aende NMB, BOA au CRDB kuikopea. Mkopo wa miaka sita ujue kila siku atakatwa na kubaki na 6400 tu.Assume kwamba una mshahara wa 540,000/= gross (kima cha kati).
Kwa wiki 45 hours, kwa mwezi 180 to 200 hrs.
Now: 540,000/180 = 3,000 kwa saa (gross).
Ukiweka makato ya PAYE, NSSF, HESLB, NHIF nk net itakuwa around 1,700 kwa saa. Hii itasababisha watu washtuke kwamba wanalipwa kidogo sana.
Maana mtu ukichukua hiyo 1,700 ukazidisha kwa masaa 9 unapata almost 15,300 kwa siku. Imagine, ni business ngapi mtaani unaweza kutengeneza kiasi hiki kwa siku? Mind you, hii ni revenue, siyo profit.
Kumbuka kwenye hiyo15300 huyo mtumishi lazma aende NMB, BOA au CRDB kuikopea. Mkopo wa miaka sita ujue kila siku atakatwa na kubaki na 6400 tu.
Hakuna.Fanya utafiti usisubiri kila kitu kutafutiwa
Kwa hiyo kama kuna watu wanafanya kazi wikiendi ndo watu wasilipwe kwa masaa kwa sababu zipi? 🤒Hii hii serikali ndo ilipe watu kwa masaa! mbona itapata hasara? hivi unajua kuna watu wanafanya kazi za serikali zaidi ya muda wa kazi tena hadi weekends, je umewaza na hilo
Been there done that. Hakuna nchi ambayo watu WOTE wanalipwa kwa saa.Basi nenda US utajua wanalipwaje
Nchi za Ulaya kuwa tajiri si kwasababu wanalipwa kwa masaa.Kwa hiyo kama hamna basi na sisi hatuwezi fanya hivo,? Jiulize Kwanini nchi za ulaya ni tajiri na sisi ni maskini
Ili aingie nani?
I know why.Sijasema ni vile wanalipwa kwa masaa ndo mana ni matajiri.
Nimekuambia ujiulize Kwanini wao na si sisi?
Maana yake isiwe na mkataba wa kudumu Bali iwe term wise.Itakula kwa serikali maana mtu akijichokea anaacha kujaza mkataba inabidi alipwe chake ajiondekee.Serikali haitathubutu na ikithubutu itajuta maana watu wengi wanefungwa na mkataba wa kudumu na mafao ya uzeeni.Serikali inatakiwa ibadili mfumo mzima wa maisha ya nchi hii na kwa wananchi wake.
Hiyo mambo ya mwisho wa mwezi ni zilipendwa. Tumeshiklia kanuni za mkoloni zile zile kubadilika hatutaki.
Serikali haina plan B miaka nenda miaka rudi.
Sahiv watu wanajifanyia kazi kwa mazoea tu na si kwa kujituma huku wakijua mwisho wa mwezi mshahara utaingia tu.
Badiliko dogo kama hilo nchi inashindwa ndo mana hatuendelei tunabaki kunga'nga'na na wapinzani,huku chama tawala kikiwa hakina mbele wala nyuma.
Assume kwamba una mshahara wa 540,000/= gross (kima cha kati).