Ni lini Serikali itaondoa/ itamaliza kadhia na mateso ya usafiri wa daladala kwenye majiji makubwa?

Serikali ipi? Hii ya akina Nape?
 
Nataka Nikwambie Ukweli Ambao Hausemwi/Hautasemwa Kamwe Ingawa Watanzania Siyo Wajinga
Unayoyaona Sasa Kwenye Majiji Tanzania Yanafanywa Kwa Makusudi Kabisa Ili Watanzania
Wakose Muda Wa Kuwaza Maendeleo

Serikali Mfano Dar Inaona Yote Ila Inajua Wazi Miradi Ama Mipango Yote Mizuri Endapo Itakamilika Watapiga Cash Wapi
Kuanzia Mwaka Huu Hadii Mwakani CAG Atasema Hati Safi Tu Kuitetea CCM Itapokwenda Kwa Wananchi, Dar Hakuna Wananchi Wanapata Raha Muda Wote Lengo Wagawanye Kupitia Shida Mbalimbali, Ajira, Matibabu, Usafi, Chakula
 
Kwa hiyo unamaanisha ripot ya cag ni fix?
 
Tatizo la Dar hakuwa diversity asilimia kubwa ya abiria asubuhi ukitoa wanafunzi ,wanaelekea sehemu zile zinazofanana yaani ni kariakoo na posta ndio kweny biashara na ofisi nyingi...


Yaani balaa bora kuweka ofisi na masoko kila sehemu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…