NI LINI SERIKALI ITAWAJIBIKA KWA KUHARIBU PESA YA MIRADI?

NI LINI SERIKALI ITAWAJIBIKA KWA KUHARIBU PESA YA MIRADI?

MaweSaba

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2024
Posts
416
Reaction score
641
Kuna Miradi mkubwa Magufuli aliacha na Mingine ya awamu ya sita haijazinduliwa mpaka Leo.

Ucheleweshwaji wa uzinduzi au kufunguliwa wa miradi hii hupoteza mabilioni ya mapato ya pesa kodi na fursa za kiuchumi Kwa watanzania.

Mfano:
Masoko Makubwa yalikua yamepangwa kufunguliwa kama la Kariakoo na Mwanza na mengine mengi yalicheleweshwa Kwa makusudi

Stand ya Mwenge

Mradi ya mwendo Kasi wakati unamalizika 2023 Ina maana hawakua na malengo? How much money tumepoteza kusubiri uendeshwaji?

Barabara za mwendokasi Mwenge Tegeta

Bandari kavu ya kwala

Na hii ni baadhi tu lakini ni dhahiri kua ucheleweshwaji huu wa makusudi una athiri uchumi pakubwa na inetengeneza mianya ya ubadhirifu wa pesa za umma. Fursa za kiuchumi na changamoto za kijamii pia zinakuwepo kutokana na ucheleweshwaji wa maendeleo haya muhimu.
 
Back
Top Bottom