Ni lini sisi mashabiki wa soka hapa nchini tutaacha kumtaja Manzoki?

canfi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2022
Posts
1,368
Reaction score
1,477
Ni lini sisi mashabiki wa soka hapa nchini tutaacha kumtaja Manzoki? It's like hajawahi kutokea mchezaji wa aina yake. Basi kamilisheni usajili wake ili tupumzike na story zake.

Mwaka mzima Manzoki Manzoki Manzoki Manzokiiii, kama mambumbu vile!
 
Siku ya mwisho dirisha la usajili kufungwa au ataendelea kutajwa tena mpaka msimu uishe kuanzia tarehe ya mwisho ya kufungwa dirisha dogo la usajili mark this comment!
 
Unaumia kutokea wapi kwani uto manzoki akitajwa unapungukiwa na kitu gani mwilini mwako?
 
Manzoki sjui Kwanza ndo nani, nashangaa wanampa trend sana ,
 
Yaani mashabiki wa mbumbumbu waking'ang'ania jambo wataliimba kila siku, huyo manzoki hawezi kuja hata iweje mbuzi ninyi
 
Hata mimi inanishangaza sana.
Manzoki manzoki manzoki hadi kichefuchefu.
Mkamchukue basi mumchezeshe hapo Simba.

Utafikiri Simba haina wachezaji, akina Okwa watajisikiaje ?
 
Siku ya mwisho dirisha la usajili kufungwa au ataendelea kutajwa tena mpaka msimu uishe kuanzia tarehe ya mwisho ya kufungwa dirisha dogo la usajili mark this comment!
Naamini hivyo
 
Kila dirisha la usajili likifunguliwa wimbo ni manzoki. Sijui ni special kiasi gani
 
Ni lini sisi mashabiki wa soka hapa nchini tutaacha kumtaja Manzoki? It's like hajawahi kutokea mchezaji wa aina yake. Basi kamilisheni usajili wake ili tupumzike na story zake.

Mwaka mzima Manzoki Manzoki Manzoki Manzokiiii, kama mambumbu vile!
Siku wewe ukiacha kuandika ujinga kama huu
 
Back
Top Bottom