Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaumia kutokea wapi kwani uto manzoki akitajwa unapungukiwa na kitu gani mwilini mwako?Ni lini sisi mashabiki wa soka hapa nchini tutaacha kumtaja Manzoki? It's like hajawahi kutokea mchezaji wa aina yake. Basi kamilisheni usajili wake ili tupumzike na story zake.
Mwaka mzima Manzoki Manzoki Manzoki Manzokiiii, kama mambumbu vile!
Itakua anazungumzia mashabiki wa mbumbu😅Mashabiki wa soka au mashabiki wa mbumbumbu?
Na wewe uko kwenye kundi la watesekaji?Itakua anazungumzia mashabiki wa mbumbu😅
Mshambuliaji wa vipers fc ambae kasajiliwa Dalian ya chinaManzoki sjui Kwanza ndo nani, nashangaa wanampa trend sana ,
Hellow dada utopolo uko poa Kwenye avatar ni wewe?Tuwaulize Madunduka FC...
Niyeye bhna,Hellow dada utopolo uko poa Kwenye avatar ni wewe?
Kweli ni hao mbumbumbuMashabiki wa soka au mashabiki wa mbumbumbu?
Naamini hivyoSiku ya mwisho dirisha la usajili kufungwa au ataendelea kutajwa tena mpaka msimu uishe kuanzia tarehe ya mwisho ya kufungwa dirisha dogo la usajili mark this comment!
Mpaka unakufa kaburini manzoki atatwaja kama hutaki hamia sayari nyingneNaamini hivyo
Siku wewe ukiacha kuandika ujinga kama huuNi lini sisi mashabiki wa soka hapa nchini tutaacha kumtaja Manzoki? It's like hajawahi kutokea mchezaji wa aina yake. Basi kamilisheni usajili wake ili tupumzike na story zake.
Mwaka mzima Manzoki Manzoki Manzoki Manzokiiii, kama mambumbu vile!