Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kuna mhitimi, mlezi au mzazi aliipa CCM kura kwa ahadi ya ajira za walimu huyo ni chiziHakuna ajira za haraka waambie waendele na kilimo, kubet, twishieni kujipatia ugali wa kila siku.
Mh anajitapata kutengeneza ajira million 8 ambazo ni ndoto nzito tujipe muda