Ni lini TAMISEMI itaweka hadharani Orodha ya majina ya Walimu waliopangwa Vituo vya Kazi?

Kwani bado tupo kwenye kampeni?
Zile ajira zilikuwa kuombea kura tu, uchaguzi umekwisha kinachofuata ni business as usual.

Hakuna cha ajira wala bibi yake ajira. Kila msomi akapambane na hali yake.
 
Bosi huko alipo presha iko juu na mapigo ya moyo hayaeleweki, anapepewa tu. Mabeberu wamekamata kende zake, halafu wewe unauliza ajira hapa, una utani na bosi?
 
Ila walimu hamna subira kabisa!!!!
Hivi mngekua mnapitia utumishi mnapiga pepa mngekua katika hali gani?
Ajira zimetangazwa hata miezi mi tatu haijapita mshaanza lalama aseee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…