Conte Code
JF-Expert Member
- Oct 19, 2017
- 227
- 253
Ukisikiliza kilio cha wazanzibar kuhusu unyanyasaji wanaoupata ndani ya muungano huu usioeleweka, ni kama vile Tanganyika
Pia soma: Wazanzibar: Muungano unatuumiza, unatupausha!
hapa aulizwe William LukuviTanganyika inafaidika Nini na kuikalia kimabavu Zanzibar??
Kuna resources zozote nzibar inanyonywa na Tanganyika??
Bro toa maoni yako kuhusu hali halisi ya MuunganoHuu mwezi umekuwa special kwa ajili ya thread zinazohusu Zanzibari.
Kumbuka kisa cha mkata miti aliyekuwa anatumia shoka ambalo limechomekwa kipande cha mti.Samia kuwa muislamu maana yake ni kwamba kwa kuwa waislamu hawapendi dhulma hatakubali kuiona Tanganyika ikiidhulumu Zanzibar kwa kuikalia kimabavu. Hii ndiyoilikuwa hojja yangu. You missed my point somewhat.
Kwani wazanzibar wakipewa uhuru na Tanganyika iliyowakalia kimabavu hawatanufaika kiuchumi na rasilimali walizo nazo mkuu? Huenda una hoja lakini umeshindwa kuiweka vizuri ieleweke.Kila kitu kina mazuri na mabaya yake.
Hata hivyo, mazuri (faida)lazima yawe makubwa kuliko mabaya (hasara).
Hatutakiwi kuangalia upande mmoja tu.
Raia wa Zanzibar wana faida za kiuchumi na kijamii kubwa katika Muungano.
Kelele za kisiasa, vyeo na mamlaka havizidi uzito wa faida za kiuchumi na kijamii kwa raia wote.
Wachanganya michanga wenyewe hawapo tunalumbana sisiLissu ndiye aliyechanganya udongo wa kuinganisha Tanganyika na Zanzibar? Hebu kuwa serious mkuu.
Kwanza huo muungano uvunjwe tuHata kama hawapo Zanzibar ina haki ya kuwa huru. Acheni kuikalia nchi kimabavu kwa visingizio hewa.
Wazanzibari wameongezewa eneo la kujidai kiuchumi kuanzia visiwani mpaka magharibi, kusini hadi kaskazini mwa Tanzania.Kwani wazanzibar wakipewa uhuru na Tanganyika iliyowakalia kimabavu hawatanufaika kiuchumi na rasilimali walizo nazo mkuu? Huenda una hoja lakini umeshindwa kuiweka vizuri ieleweke.
Tanganyika inafaidika Nini na kuikalia kimabavu Zanzibar??
Kuna resources zozote nzibar inanyonywa na Tanganyika??
Wakubali zanzibar iwe wilaya ya kibiti au kila mtu afe na chake,kuliko huu upuuzi unaoendelea sasa ivi
Sisi haya makelele tushayachoka wakubali tu au tuvunje muunganoyani mkuu wakubali kuwa wilaya ndani ya Tanganyika wakati Tanganyika yenyewe ina hali mbaya kupindukia ya kiuchumi? Acha utani mkuu hata wewe usingelikubali
Sisi haya makelele tushayachoka wakubali tu au tuvunje muungano
Ukisikiliza kilio cha wazanzibar kuhusu unyanyasaji wanaoupata ndani ya muungano huu usioeleweka, ni kama vile Tanganyika imeikalia Zanzibar kimabavu. Ni ukweli usiopingika kwamba wazanzibar wanapata taabu sana na huu muungano. Tangu Nyerere alipomrubuni Karume na kufanikiwa kuikalia Zanzibar kimabavu, kimekuwa ni kilio kisichoisha a!
Nawe ni Mzanzibari?Siku yoyote wazanzibar tukiacha kupenda vitu vya dezo dezo kutoka Tanganyika, huenda ukoloni kutoka bara ukatokomea.
Bure ina gharama sana.
Sisi au samia?samia ndo avunje sababu yeye ni mzanzibar sasa ndo avunje sisi hatuutaki unatunyonya sanahiyo kuvunja Muungano ndicho wanachokitaka, ila nyinyi ndio munaowang'ang'ania