Ni lini TRA mtawezesha tupate TAX Clearance bila kufika ofisi zenu zenu?

ubongokid

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
2,154
Reaction score
4,184
Habari za wakati huu;
Moja kati ya kero kubwa kabisa ya kulipa kodi hapa Tanzania ni swala la Kwenda kwenye hizi ofisi za TRA,kupanga foleni na kupoteza muda.

Swali langu kwa hawa maafsaa wa TRA ni hili.

Kwa kuwa sasa kila mtua anao uwezo wa kuingia mtandaoni na kufanya mchakato wa kulipa kodi kidigitali na kwa kuwa sasa mnataka kupunguza msongamano na gharama za ulipaji kodi Je ni lini TRA Tanzania Mtawezesha mtu aweze kuomba TAX clearance certificate kwa njia ya Mtandao na kuweza kuiprint au kuituma kwa mtu kidgitali bila kufika kwenye ofisi zenu.

Fanyeni hivi ila iwapo maswala ya kikodi ya mteja yana walakini yoyte basi mnaweza kumtumia wito kwa njia ya kidigitali na hata mkiweza mnaweza zuia utoaji wa hiyo Clearance kidigitali bila kumalzimisha mtu kuja kupanga foleni kwenye ofisi zenu ambazo hazina viti vya kutosha,hazina wahudumu wenye weledi na wala haziko rafiki kwa mlipa kodi?

cc Kamishna Mkuu wa TRA
cc Waziri wa Fedha
cc Mameneja wa TRA wote
 
Bila kufika ofisini kwao physically unategemea hao vijana walio wajiri watapiga je cha juu bila kukubabikaza ma kodi kubwa ila kutegeneza mazingira ya maongezi.........hi nchi ni wizi tu.
 
Hili likiwezekana itapendeza.Japo maafisa watakosa watu wa kuwaita mkuu, boss, mheshimiwa.
 
huu mfumo wa kwenda ofisini kwao unanenepesha vishoka tu,
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Kwani kwenye hii tax payer portal hupati clearance? Mimi siku hizi kila kitu namalizia kwangu nikienda tra nakua nashinda binafsi kama kubargain or something
 
Sijaiona option ya tax clearance boss. Tupe elimu zaidi kama umeiona
 
Back
Top Bottom