ubongokid
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 2,154
- 4,184
Habari za wakati huu;
Moja kati ya kero kubwa kabisa ya kulipa kodi hapa Tanzania ni swala la Kwenda kwenye hizi ofisi za TRA,kupanga foleni na kupoteza muda.
Swali langu kwa hawa maafsaa wa TRA ni hili.
Kwa kuwa sasa kila mtua anao uwezo wa kuingia mtandaoni na kufanya mchakato wa kulipa kodi kidigitali na kwa kuwa sasa mnataka kupunguza msongamano na gharama za ulipaji kodi Je ni lini TRA Tanzania Mtawezesha mtu aweze kuomba TAX clearance certificate kwa njia ya Mtandao na kuweza kuiprint au kuituma kwa mtu kidgitali bila kufika kwenye ofisi zenu.
Fanyeni hivi ila iwapo maswala ya kikodi ya mteja yana walakini yoyte basi mnaweza kumtumia wito kwa njia ya kidigitali na hata mkiweza mnaweza zuia utoaji wa hiyo Clearance kidigitali bila kumalzimisha mtu kuja kupanga foleni kwenye ofisi zenu ambazo hazina viti vya kutosha,hazina wahudumu wenye weledi na wala haziko rafiki kwa mlipa kodi?
cc Kamishna Mkuu wa TRA
cc Waziri wa Fedha
cc Mameneja wa TRA wote