Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
- Thread starter
- #41
Mikese
Sijaelewa hapa
Umesema mlisimamishwa Msolwa ikimaanisha mlishapita Kigwaza ilipo mizani na Chalinze, sasa hiyo foleni ya mizani imewazuiaje wakati Msolwa ipo karibu na Mdaula mbali kabisa na ilipo mizani?