Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
''Pale ambapo askari polisi anafanya jambo nje ya utaratibu anageuka mhalifu aliyevaa nguo ya serikali''
Kwa leo tuishie hapa.
Kwa leo tuishie hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anashitakiwa kwa kumzuia afisa wa serikali kutekeleza majukumu yakeMwisho wa siku mwamba anafunguliwa kesi Tofauti kabisa na kosa lake.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Tirafiki Ni form four feliaHao na walimu akili kizibo ndio mtaji wa CCM
Bora iwe hata hivyo.Anashitakiwa kwa kumzuia afisa wa serikali kutekeleza majukumu yake
Mbona huyo makamu wa rais alishasema hataki hayo mambo kwenye msafara wake au ndio unafiki wenyewe.Tumetoka Dar Shekilango saa 11 alfajiri na Bus la Kampuni ya New Force No. T 236 EBK kuelekea Mbeya. Tumefika Msolwa tumesimamishwa na askari kuwa Kuna msafara wa makamu wa raisi. Tumesimama hadi saa mbili na dakika kadhaa.
Tumeondoka muda magari yakawa mengi, malori, mabasi na magari binafsi. Kuna kipande kuna lory lilikua bovu hivyo mabasi na magari mengine yakatanua, baada ya muda gari zote zikawa haziendi kwa sababu ya mizani pale.
Akaja RTO akamfuata dereva WA bus husika na kumuamuru ahame Site Yake akakae opposite Site ili wayanasue pale, dereva alitii lakini alivyoweka bus upande ule, akaamuriwa Tena aliingize kwenye uchochoro ambao ulikua umejaa tope na kwa ukubwa wa Bus kuliingiza pale lingezama na tusingeweza kutoka Tena.
Dereva akamweleza na kumuelewesha ila yule Askari wa hovyo akamkazia jamaa, jamaa akagoma! Akamwambie TUTAONA.
Tukaruhusiwa kuondoka, tumefika Msamvu saa nne dakika 38 jamaa amekamatwa amewekwa lock-up.
Tunaendelea na safari na Dereva mmoja, sasa hapa ndio najiuliza kama kweli askari wetu wanatumia busara au lah.
Yaani unamuweka Driver lockup then uruhusu basi liendelee na safari na driver mmoja, huyu akichoka au akipata dharura, risk inakua kubwa kwa roho za watu.
Waliosema mabasi yawe na madereva wawili walikua na akili.
Protocol lazima waifuate maybeMbona huyo makamu wa rais alishasema hataki hayo mambo kwenye msafara wake au ndio unafiki wenyewe.
polisi wote hawatakiwi kutumia akili ndugu, wakitumia akili kazi yao haitasonga mbele.Tumetoka Dar Shekilango saa 11 alfajiri na Bus la Kampuni ya New Force No. T 236 EBK kuelekea Mbeya. Tumefika Msolwa tumesimamishwa na askari kuwa Kuna msafara wa makamu wa raisi. Tumesimama hadi saa mbili na dakika kadhaa.
Tumeondoka muda magari yakawa mengi, malori, mabasi na magari binafsi. Kuna kipande kuna lory lilikua bovu hivyo mabasi na magari mengine yakatanua, baada ya muda gari zote zikawa haziendi kwa sababu ya mizani pale.
Akaja RTO akamfuata dereva WA bus husika na kumuamuru ahame Site Yake akakae opposite Site ili wayanasue pale, dereva alitii lakini alivyoweka bus upande ule, akaamuriwa Tena aliingize kwenye uchochoro ambao ulikua umejaa tope na kwa ukubwa wa Bus kuliingiza pale lingezama na tusingeweza kutoka Tena.
Dereva akamweleza na kumuelewesha ila yule Askari wa hovyo akamkazia jamaa, jamaa akagoma! Akamwambie TUTAONA.
Tukaruhusiwa kuondoka, tumefika Msamvu saa nne dakika 38 jamaa amekamatwa amewekwa lock-up.
Tunaendelea na safari na Dereva mmoja, sasa hapa ndio najiuliza kama kweli askari wetu wanatumia busara au lah.
Yaani unamuweka Driver lockup then uruhusu basi liendelee na safari na driver mmoja, huyu akichoka au akipata dharura, risk inakua kubwa kwa roho za watu.
Waliosema mabasi yawe na madereva wawili walikua na akili.
Duh basi SAWA, Ina ukweli hiipolisi wote hawatakiwi kutumia akili ndugu, wakitumia akili kazi yao haitasonga mbele.
Na abiria ndio ninyi, mnakubali maisha yenu yawekwe rehani na wala rushwa! WaTz ni lini tutajifunza kusimamia haki zetu?Tumetoka Dar Shekilango saa 11 alfajiri na Bus la Kampuni ya New Force No. T 236 EBK kuelekea Mbeya. Tumefika Msolwa tumesimamishwa na askari kuwa Kuna msafara wa makamu wa raisi. Tumesimama hadi saa mbili na dakika kadhaa.
Tumeondoka muda magari yakawa mengi, malori, mabasi na magari binafsi. Kuna kipande kuna lory lilikua bovu hivyo mabasi na magari mengine yakatanua, baada ya muda gari zote zikawa haziendi kwa sababu ya mizani pale.
Akaja RTO akamfuata dereva WA bus husika na kumuamuru ahame Site Yake akakae opposite Site ili wayanasue pale, dereva alitii lakini alivyoweka bus upande ule, akaamuriwa Tena aliingize kwenye uchochoro ambao ulikua umejaa tope na kwa ukubwa wa Bus kuliingiza pale lingezama na tusingeweza kutoka Tena.
Dereva akamweleza na kumuelewesha ila yule Askari wa hovyo akamkazia jamaa, jamaa akagoma! Akamwambie TUTAONA.
Tukaruhusiwa kuondoka, tumefika Msamvu saa nne dakika 38 jamaa amekamatwa amewekwa lock-up.
Tunaendelea na safari na Dereva mmoja, sasa hapa ndio najiuliza kama kweli askari wetu wanatumia busara au lah.
Yaani unamuweka Driver lockup then uruhusu basi liendelee na safari na driver mmoja, huyu akichoka au akipata dharura, risk inakua kubwa kwa roho za watu.
Waliosema mabasi yawe na madereva wawili walikua na akili.
Umeongea point nilisha wahi kufikiria ivoo .Serikali inabidi ibadilike. wanaofeli mitihani (hasa kidato cha nne) wasipelekwe kusoma fani muhimu za kuwahudumia watu kama polisi na ualimu. wana visirani vya kijinga sana!