Ni lini Traffic Police watatumia akili? Maamuzi kama haya ni ya kipumbavu

''Pale ambapo askari polisi anafanya jambo nje ya utaratibu anageuka mhalifu aliyevaa nguo ya serikali''

Kwa leo tuishie hapa.
 
Tanzania ndio inaongoza kutoa abiria wasiojitambua duniani, siti ya watu wa4 wanakalishwa wa5 na hakuna anaejali
 
Tumetoka Dar Shekilango saa 11 alfajiri na Bus la Kampuni ya New Force No. T 236 EBK kuelekea Mbeya. Tumefika Msolwa tumesimamishwa na askari kuwa Kuna msafara wa makamu wa raisi. Tumesimama hadi saa mbili na dakika kadhaa.

Tumeondoka muda magari yakawa mengi, malori, mabasi na magari binafsi. Kuna kipande kuna lory lilikua bovu hivyo mabasi na magari mengine yakatanua, baada ya muda gari zote zikawa haziendi kwa sababu ya mizani pale.

Akaja RTO akamfuata dereva WA bus husika na kumuamuru ahame Site Yake akakae opposite Site ili wayanasue pale, dereva alitii lakini alivyoweka bus upande ule, akaamuriwa Tena aliingize kwenye uchochoro ambao ulikua umejaa tope na kwa ukubwa wa Bus kuliingiza pale lingezama na tusingeweza kutoka Tena.

Dereva akamweleza na kumuelewesha ila yule Askari wa hovyo akamkazia jamaa, jamaa akagoma! Akamwambie TUTAONA.

Tukaruhusiwa kuondoka, tumefika Msamvu saa nne dakika 38 jamaa amekamatwa amewekwa lock-up.

Tunaendelea na safari na Dereva mmoja, sasa hapa ndio najiuliza kama kweli askari wetu wanatumia busara au lah.
Yaani unamuweka Driver lockup then uruhusu basi liendelee na safari na driver mmoja, huyu akichoka au akipata dharura, risk inakua kubwa kwa roho za watu.

Waliosema mabasi yawe na madereva wawili walikua na akili.
Mbona huyo makamu wa rais alishasema hataki hayo mambo kwenye msafara wake au ndio unafiki wenyewe.
 
Askari wetu walio wengi wa naamini katika Nguvu na ubabe na ukijaribu kuwaelewesha wao wanaona kama umevunja Katiba
 
Tumetoka Dar Shekilango saa 11 alfajiri na Bus la Kampuni ya New Force No. T 236 EBK kuelekea Mbeya. Tumefika Msolwa tumesimamishwa na askari kuwa Kuna msafara wa makamu wa raisi. Tumesimama hadi saa mbili na dakika kadhaa.

Tumeondoka muda magari yakawa mengi, malori, mabasi na magari binafsi. Kuna kipande kuna lory lilikua bovu hivyo mabasi na magari mengine yakatanua, baada ya muda gari zote zikawa haziendi kwa sababu ya mizani pale.

Akaja RTO akamfuata dereva WA bus husika na kumuamuru ahame Site Yake akakae opposite Site ili wayanasue pale, dereva alitii lakini alivyoweka bus upande ule, akaamuriwa Tena aliingize kwenye uchochoro ambao ulikua umejaa tope na kwa ukubwa wa Bus kuliingiza pale lingezama na tusingeweza kutoka Tena.

Dereva akamweleza na kumuelewesha ila yule Askari wa hovyo akamkazia jamaa, jamaa akagoma! Akamwambie TUTAONA.

Tukaruhusiwa kuondoka, tumefika Msamvu saa nne dakika 38 jamaa amekamatwa amewekwa lock-up.

Tunaendelea na safari na Dereva mmoja, sasa hapa ndio najiuliza kama kweli askari wetu wanatumia busara au lah.
Yaani unamuweka Driver lockup then uruhusu basi liendelee na safari na driver mmoja, huyu akichoka au akipata dharura, risk inakua kubwa kwa roho za watu.

Waliosema mabasi yawe na madereva wawili walikua na akili.
polisi wote hawatakiwi kutumia akili ndugu, wakitumia akili kazi yao haitasonga mbele.
 
Na abiria ndio ninyi, mnakubali maisha yenu yawekwe rehani na wala rushwa! WaTz ni lini tutajifunza kusimamia haki zetu?
 
Serikali inabidi ibadilike. wanaofeli mitihani (hasa kidato cha nne) wasipelekwe kusoma fani muhimu za kuwahudumia watu kama polisi na ualimu. wana visirani vya kijinga sana!
Umeongea point nilisha wahi kufikiria ivoo .
 
Awali ya yote tumshukuru makamu maana kauli yake ilikuwa kuchangamsha genge pili Askari wetu sijui ni ushamba yaani wanajiona wao ndio miungu watu waliobakia,na sisi wananchi tumezidi kulia lia kwani mmngegoma kuendelea na safari kumtetea huyo dereva ingekuwaje?kama kuchelewa mlisha chelewa
 
UNAJUA KUNA KADA/FANI NYINGINE, KUKOSA KUTUMIA AKILI NDIO SIFA PEKEE YA KUAJILIWA
 
Sema dereva wapili nae angegoma kutoa gari mpaka dereva aachiliwe angekataa gari haiwez enda na dereva mmoja

Abiria nao walikua kichwa maji Tu uoga umewazid watz Sana dereva anashikwa na nyie mnanyamaza Tu na alikua anawaokoa msikwame kwenye matope
 
Back
Top Bottom