Ni lini Traffic Police watatumia akili? Maamuzi kama haya ni ya kipumbavu

Mikese
Sijaelewa hapa
Umesema mlisimamishwa Msolwa ikimaanisha mlishapita Kigwaza ilipo mizani na Chalinze, sasa hiyo foleni ya mizani imewazuiaje wakati Msolwa ipo karibu na Mdaula mbali kabisa na ilipo mizani?
 
Mkuu labda uliwaambia huwa una panda ndege always... Ila mambo yanabadilika
Hahahah wapi ndugu yangu. Hebu aseme wapi niliwahi kusema Niko airport, Kila siku Mimi na mabasi na malori hahahah ana makasiriko tu binafsi
 
Walikosea sana kutoweka vigezo kupata mafunzo ya uaskari. Hawa watu sijui wanatumiaga akili gani kupembua mambo.
 
Hahahah wapi ndugu yangu. Hebu aseme wapi niliwahi kusema Niko airport, Kila siku Mimi na mabasi na malori hahahah ana makasiriko tu binafsi
Aisee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ daaah lakini ndio watu walivyo...ukiwa na taaabu wanafurah, ukiwa na raha wanafurah sometimes wanachukia pia yan hawaeleweki, unaenda nao sawa hivyo hivyo
 
Madereva wanapaswa kuwatii askari wa usalama. Kazi yao ni muhimu sana kuhakikisha usalama wetu. Tungekuwa na ^mkanda^ mzima, lazima tu huyo dereva alivuka ^mpaka!^

Hatarudia next time, nakwambia. Tulijenge taifa letu kwa amani na busara.
Nina wasiwasi na kauli za huyo dereva japo sitetei uonevu wa askari!!

Kitendo cha dereva kujibu atakwama kwenye tope ndo kimefanya akamatwe?

Kipo cha ziada sio bure..
 
Aisee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ daaah lakini ndio watu walivyo...ukiwa na taaabu wanafurah, ukiwa na raha wanafurah sometimes wanachukia pia yan hawaeleweki, unaenda nao sawa hivyo hivyo
Basi, nimempuuza! Mungu akubariki kwa ushauri wako! Uwe na wakati mwema
 
Ndugu umekosea ungechukua namba ya huyo askari kichaa. Hata nyie abiria hamjitambuhi na hamna ushirikiano mgegoma kuondoka hapo.
Kweli Kabisa huu udhalimu hauwezi kufika mwisho bila ushirikiano, ila Kwa Sasa hapa Dar polisi ni wengi wanalinda Zebra crossing na kula Kwa urefu WA kamba!!
Fikiria vituo vya dala dala vimekuwa replaced na polisi badala ya wapiga debe!! Njoo hapa River side Ubungo ujionee maajabu ya Musa
 
Hewaa! Unapoposti sie tunakufuatilia, leo umenielewa shangaza kupanda basi kama sie wakati Mbeya ndege bwelele!
 
Namkakubali gari liondoke [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…