Tofautisha sadaka,malipo na hongo. Sio kila hela ni sadakaHakuna jambo linafanikiwa bila sadaka hata kwa shetani bila sadaka huwezi kupata utakacho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tofautisha sadaka,malipo na hongo. Sio kila hela ni sadakaHakuna jambo linafanikiwa bila sadaka hata kwa shetani bila sadaka huwezi kupata utakacho
Mfano Uingereza, Ufaransa, Ubelgiji na ItalyZipi
Mwelekeze labda ataelewa,eti dini za kigeni mbona teknolojia ni za kigeni hamziachi? Au teknolojia ni ya Babu zakoi? Akili finyu kabisa, huko congo Nako ni dini? Urusi ni dini, na tekateka ni dini? Babu umeishia darasa la ngapi? Jiendeleze.Chuki ipo katika watu na sio dini.
Mbona sisi tunaua vikongwe,malbino nk hapa dini gani ya kigeni imehusika.
Pili dini ya mwafrika ni ipi?
No free lunch or ride my child. Fumbua macho. Kwanini kumbembeleza mwizi akusaidie badala ya kurejesha chako?We uoni hio misaaada tunayopewa si ndo fidia yenyewe
Chuki iko katika vyote. Dini zimetujaza tamaa na kuchukiana kiasi cha kuuana. Mbona hapo zamani hamkuwaua? Acheni kuua wenzenu kama unavyokiri.Chuki ipo katika watu na sio dini.
Mbona sisi tunaua vikongwe,malbino nk hapa dini gani ya kigeni imehusika.
Pili dini ya mwafrika ni ipi?
Si lazima kuuziwa. Unaweza kulima hata kupewa na wavuta bangi wenzako kama siyo mamlaka zilizowageuza machawa nanyi mkakubali udhalilishaji huu wa mchana kweupe mwanangu.Utakuwa wewe uliniuzia Hy bangi acha kuuza bangi
Hujui? Wakadai wale waliowaibia. Simpo mwananguKumbe ulielewa Sasa jibu swali je wenye chuki za Mali wakadai fidia wapi?
So sad, too bad. Hujui kuwa hujui wala kuelewa kilichoandikwa.Kwa sababu naelewa kilichoandikwa
Chuki iko katika vyote. Dini zimetujaza tamaa na kuchukiana kiasi cha kuuana. Mbona hapo zamani hamkuwaua? Acheni kuua wenzenu kama unavyokiri.
Si lazima kuuziwa. Unaweza kulima hata kupewa na wavuta bangi wenzako kama siyo mamlaka zilizowageuza machawa nanyi mkakubali udhalilishaji huu wa mchana kweupe mwanawe acha
Hayawani kabisaSo sad, too bad. Hujui kuwa hujui wala kuelewa kilichoandikwa.
Heri hayawani kuliko mseeeengeee.Hayawani kabisa
Wewe ndiye foolish. Kama ungeamua kujielimisha kuhusu haya mambo ya fidia ungeligundua ya kwamba jamii nyingi sana Afrika ziliishaomba fidia na zikapewa lakini bado zipo palepale.Huwa nakaribia kutapika kusikia wabaguzi wakisema waafrika wasidai fidia. Foolish.
Kwanza, wanadai fidia kama binadamu. Pili, waathirika. Na tatu, Watanzania. Hayo mambo ya kugawana vipi siyo issue hata kidogo. Tumalize kwanza kesi. Kugawana kutakuja baadae mwanangu.Wewe ndiye foolish. Kama ungeamua kujielimisha kuhusu haya mambo ya fidia ungeligundua ya kwamba jamii nyingi sana Afrika ziliishaomba fidia na zikapewa lakini bado zipo palepale.
Halafu kingine, nani anaomba fidia kwa nani? Wahehe, Wazaramo, Wanyamwezi, Wayao kutaja wachache waliathirika na uvamizi wa Wajerumani. Leo wakidai fidia, wanadai kama "mataifa" au (Makabila) yao au kama Tanganyika au kama Tanzania? Na wakilipwa fidia leo, wanalipwa wao tu au kama Tanzania?
Ahahahahaha!Kwanza, wanadai fidia kama binadamu. Pili, waathirika. Na tatu, Watanzania. Hayo mambo ya kugawana vipi siyo issue hata kidogo. Tumalize kwanza kesi. Kugawana kutakuja baadae mwanangu.
KKKK. Mie hucheka ninapogundua kuwa kumbe imeingia kiulani kama nilivyofanya kwako. KkkkkkAhahahahaha!
Usijali kucheka kwangu. Mara nyingi huwa nacheka kuhitimisha kwangu mijadala ya kijinga na ya kipumbavu!

Safi sana ongeza juhudiHeri hayawani kuliko mseeeengeee.
Karibu. Nashukuru umeelewaSafi sana ongeza juhudi
1.India ilikuwa koloni la Muingereza mpaka mwaka 1947Kwa wataalamu wa historia, sayansi ya jamii, na uchumi, umaskini na kubakia nyuma kwa Afrika ni matokeo ya ukoloni uwe wa kisiasa au kiimani au kiutamaduni kama siyo kijamii.
Kupitia jinai hii, nchi za magharibi na za mashariki ya kati ziliingiza dini na kutuibia mali nyingi huku zikiharibu na kufuta mila zetu za maana. Kutokana na hali hii, Afrika ni kama mbuzi aliyefundishwa na fisi kula nyama na akaanza kuwatafuna watoto wake mwenyewe.
Rejea chuki za kidini, migogoro ya kisiasa baina ya nchi na nchi na uoza mwingine mwingi. Ni Waafrika tu wasiotumia majina yao au tuseme waliopoteza utambulisho wao. Akiitwa Mwafrika, kwa walio wengi mbali na wale walioshikilia mila zao, kabla ya kumuona, ima utajua ni mwarabu au mzungu, mkristo, au muislam.
Ajabu, zaidi ya ardhi, madini, utajiri, na vyakula vyetu, hawa waliotuhadaa kutuibia, wanachukia kila tulicho nacho kuanzia rangi yetu hadi mila zetu. Je ni lini tutawabana lau watufidie vinginevyo tuwapige marufuku kwenye bara letu? Je, kwa uzwazwa tulio nao, tutaweza?
NAOMBA KUWASILISHA WANANGU.
Kama hawakudai hiyo shauri yao. Kwani mwizi akikuibia ukaamua kudai ni kosa? Kama wao waliridhika sawa tu. Hatuwalazimishi. Hata hivyo, hao uliowataja hawakupelekwa utumwani zaidi ya kuletwa Afrika kutuibia wakisaidiana na hao waliowatawala na baadae kuja kututawala sisi.1.India ilikuwa koloni la Muingereza mpaka mwaka 1947
2. Indonesia ilikuwa koloni la wadachi mpaka mwaka 1945
3. China ilitalawaliwa baadhi ya sehemu na Uingereza.
Hizo ni baadhi ya nchi zilizopo ndani ya g20 ambazo zilitawaliwa kikoloni na muda wao wa kupata uhuru hauzidi miaka 20 hadi na sisi tulipopata uhuru.
Hakuna hata moja katika nchi hizo zilizodai fidia kutoka kwa waliowakoloni na ndio kwanza zimekuwa tishio kimaendeleo mpaka kwa hao waliowakoloni.
Husikii kutoka kwao ajenda za ukoloni na hili ndio tatizo kwetu sisi. Badala ya kuwaza namna gani tutakwenda mbele, tunaumiza vichwa kutumia akili zetu kurudi nyuma na kutoa lawama ambazo hazina faida.
Hata hiyo fidia tutayodai haitotufikisha popote endapo tutashindwa kuzitoa akili zetu katika selo ya ukoloni.