Ni lini tutataka nchi zilizotutawala, dini zilizotudanganya, kutuibia na kutuharibu zitulipe fidia kwa uharibufu na hasara vilivyotusababishia?

Ni lini tutataka nchi zilizotutawala, dini zilizotudanganya, kutuibia na kutuharibu zitulipe fidia kwa uharibufu na hasara vilivyotusababishia?

Chuki iko katika vyote. Dini zimetujaza tamaa na kuchukiana kiasi cha kuuana. Mbona hapo zamani hamkuwaua? Acheni kuua wenzenu kama unavyokiri.
Waafrika waliuana sana kabla ya dini soma historia.
Rise and fall of kingdoms.
Kwani wangoni kilichowatoa south Africa ni nini kama sio vita.
We uoni hata sasa tunauwana hovyo waafrika kwa waafrika kisa chuki check Congo, sudani,nk
 
No free lunch or ride my child. Fumbua macho. Kwanini kumbembeleza mwizi akusaidie badala ya kurejesha chako?
Hatuna uwezo wa kuona fursa ndo maana wanatupa misaaada ili kuua fikra zetu kwa kubweteka.
Umeshawahi ona omba omba mwenye maendeleo
 
Uingereza ilitawaliwa na Italy, USA ilitawaliwa na Muingereza,China na Mjapani hakuna nchi ambayo haikutawaliwa.
Tuache visingizo sawa na vya baba hakunipeleka shule ndo maana mimi ni masikini.
 
Back
Top Bottom