Waafrika waliuana sana kabla ya dini soma historia.
Rise and fall of kingdoms.
Kwani wangoni kilichowatoa south Africa ni nini kama sio vita.
We uoni hata sasa tunauwana hovyo waafrika kwa waafrika kisa chuki check Congo, sudani,nk
Uingereza ilitawaliwa na Italy, USA ilitawaliwa na Muingereza,China na Mjapani hakuna nchi ambayo haikutawaliwa.
Tuache visingizo sawa na vya baba hakunipeleka shule ndo maana mimi ni masikini.