Ni lini wanamuziki wetu watafikia kiwango hiki cha Shakira?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,982
Reaction score
51,157
Akihojiwa kwenye kipindi cha Fallon tonight, mwanamuziki Shakira amesema huwa anasafiri na vifaa vya kuwezesha matamasha yake vyenye uzito wa tani 90 na idadi ya watu wasiopungua 145 kufanikisha matamasha hayo!

Nimewaza ni lini na sisi tutapata mwanamuziki mwenye uwezo wa kuhimili matamasha kama hayo??
 
Kama unaweza kupiga show alone hakuna haja ya kumuiga mtu
 
Akihojiwa kwenye kipindi cha Fallon tonight, mwanamuziki Shakira amesema huwa anasafiri na vifaa vya kuwezesha matamasha yake vyenye uzito wa tani 90 na idadi ya watu wasiopungua 145 kufanikisha matamasha hayo!

Nimewaza ni lini na sisi tutapata mwanamuziki mwenye uwezo wa kuhimili matamasha kama hayo??
Miaka 100 ijayo
 
Ni uchoyo tu, ukitaka wewe upate peke yako.
Tamasha likiwa zuri linakuongezea thamani, likiwa bovu inakushushia thamani yako.
 
Wa Africa wengi ni wabinafsi ndio maana tunashindwa kufanikiwa hawajui kuwa na timu nzuri na Kila mtu ukimpa nafasi afanye kazi yake final product inakuwaje nzuri, mfano nzuri angalia beats za zamani mpaka Sasa ni Kali ila hizi za Kila kitu kufanywa na computer no aisee
 
Bado tunajikongoja mkuu, ila walau wasanii wengi husafiri na team zako.

Labda hawa wa kufokafoka ndio huwa wao kama wao na labda chawa wao kadhaa.
 
Back
Top Bottom