Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Miaka 100 ijayoAkihojiwa kwenye kipindi cha Fallon tonight, mwanamuziki Shakira amesema huwa anasafiri na vifaa vya kuwezesha matamasha yake vyenye uzito wa tani 90 na idadi ya watu wasiopungua 145 kufanikisha matamasha hayo!
Nimewaza ni lini na sisi tutapata mwanamuziki mwenye uwezo wa kuhimili matamasha kama hayo??
Kuna kitu be bado hujalewa , hiyo yote ni sehemu ya timu yake unajua Chris brown south alikuwa na timu ya watu wangapi?Yanini wasted of time and money
Wa Africa wengi ni wabinafsi ndio maana tunashindwa kufanikiwa hawajui kuwa na timu nzuri na Kila mtu ukimpa nafasi afanye kazi yake final product inakuwaje nzuri, mfano nzuri angalia beats za zamani mpaka Sasa ni Kali ila hizi za Kila kitu kufanywa na computer no aiseeNi uchoyo tu, ukitaka wewe upate peke yako.
Tamasha likiwa zuri linakuongezea thamani, likiwa bovu inakushushia thamani yako.