Ni Maajabu: Mwamko wa Kutisha waonekana kwa Watanzania kuwaunga mkono CHADEMA

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,491
Reaction score
57,973
Kuna vitu watu wanaweza kukufanyia wakadhani wamekumaliza kumbe ndo wamekunyanyua mara 1000 zaidi.

Pamoja na hila na madhila yote ambayo CCM wamewafanyia na wanawafanyia CHADEMA, ukweli ni kwamba kila siku Watanzania wameonesha kuzidi kukiunga mkono Chadema na ajenda zao kwa kasi ya kutisha.

Kati ya jambo linalonishangaza ni kwamba hata zile Account zinazofahamika kupost masuala ya hovyo au masuala ambayo hayaendani na siasa wa masuala ya nchi zimeonesha kuunga mkono juhudi za Chadema kutaka mabadiliko ya mifumo ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi.

Leo nimepitia Mtandao wa X na Facebook. Kusema kweli kwa hali niliyoiona, napenda kuhitimisha kuwa CHADEMA ni mashindi maana No Reform No Election imekubaliwa na kila Mtanzania sasa.

No Reform No Election inazungumzwa na kila Mtanzania sasa na wote wanaiunga mkono pamoja na misimamo ya CHADEMA.

CCM pamoja na kuandaa mapandikizi yao kujaribu kuwalaghai Watanzania, ukweli ni kwamba Watanzania sasa wanaonesha kuwa wameamka na hawawezi tena kulaghaiwa na CCM.

Jioneeni wenyewe Watanzania wanavyowapasua CCM na Tume yao ya kitapeli👇
Screenshot_20250412-195156_Facebook.jpg
Screenshot_20250412-195104_Facebook.jpg
FB_IMG_1744476360872.jpg
Screenshot_20250412-135502_X.jpg
Screenshot_20250412-134512_X.jpg
Screenshot_20250412-133027_X.jpg
Screenshot_20250412-132715_X.jpg

Poleni sana CCM. Kwa hali hii Watanzania Wameshazuiq huu Uchaguzi. Mnaweza msielewe ila mnaweza kuwa na Wapuga kura laki 2 Tanania nzima hapo Desemba
 
Kuna vitu watu wanaweza kukufanyia wakadhani wamekumaliza kumbe ndo wamekunyanyua mara 1000 zaidi.

Pamoja na hila na madhila yote ambayo CCM wamewafanyia na wanawafanyia CHADEMA, ukweli ni kwamba kila siku Watanzania wameonesha kuzidi kukiunga mkono Chadema na ajenda zao kwa kasi ya kutisha.

Kati ya jambo linalonishangaza ni kwamba hata zile Account zinazofahamika kupost masuala ya hovyo au masuala ambayo hayaendani na siasa wa masuala ya nchi zimeonesha kuunga mkono juhudi za Chadema kutaka mabadiliko ya mifumo ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi.

Leo nimepitia Mtandao wa X na Facebook. Kusema kweli kwa hali niliyoiona, napenda kuhitimisha kuwa CHADEMA ni mashindi maana No Reform No Election imekubaliwa na kila Mtanzania sasa.

No Reform No Election inazungumzwa na kila Mtanzania sasa na wote wanaiunga mkono pamoja na misimamo ya CHADEMA.

CCM pamoja na kuandaa mapandikizi yao kujaribu kuwalaghai Watanzania, ukweli ni kwamba Watanzania sasa wanaonesha kuwa wameamka na hawawezi tena kulaghaiwa na CCM.

Jioneeni wenyewe Watanzania wanavyowapasua CCM na Tume yao ya kitapeli👇
View attachment 3301919View attachment 3301920View attachment 3301921View attachment 3301925View attachment 3301926View attachment 3301928View attachment 3301929

Poleni sana CCM. Kwa hali hii Watanzania Wameshazuia huu Uchaguzi. Mnaweza msielewe ila mnaweza kuwa na Wapiga kura laki 2 Tanzania nzima hapo October
 
Attachments

  • VID-20241205-WA0008.mp4
    19.4 MB
Bwahabwahahahahaaa!
Nilijua Watanzania wameongea kumbe ni hivyo vinyumbu kumi?!!! Acha vijifurahishe, havina mpango Wala madhara.

Sisi pia tuko mtaani ewe nyumbu, jitahidi usidanganye kupitiliza......Huku niliko Wanamcheka tu huyo 'artificial chiba' Huku wakimkumbuka mbowe
 
  • Nzuri
Reactions: UCD
Leo nimepitia Mtandao wa X na Facebook. Kusema kweli kwa hali niliyoiona, napenda kuhitimisha kuwa CHADEMA ni mashindi maana No Reform No Election imekubaliwa na kila Mtanzania sasa.
Maisha ya mtandaoni!
Uraiani vijana hawana habari.
Wako busy kujadili Simba na Yanga.
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Kuna vitu watu wanaweza kukufanyia wakadhani wamekumaliza kumbe ndo wamekunyanyua mara 1000 zaidi.

Pamoja na hila na madhila yote ambayo CCM wamewafanyia na wanawafanyia CHADEMA, ukweli ni kwamba kila siku Watanzania wameonesha kuzidi kukiunga mkono Chadema na ajenda zao kwa kasi ya kutisha.

Kati ya jambo linalonishangaza ni kwamba hata zile Account zinazofahamika kupost masuala ya hovyo au masuala ambayo hayaendani na siasa wa masuala ya nchi zimeonesha kuunga mkono juhudi za Chadema kutaka mabadiliko ya mifumo ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi.

Leo nimepitia Mtandao wa X na Facebook. Kusema kweli kwa hali niliyoiona, napenda kuhitimisha kuwa CHADEMA ni mashindi maana No Reform No Election imekubaliwa na kila Mtanzania sasa.

No Reform No Election inazungumzwa na kila Mtanzania sasa na wote wanaiunga mkono pamoja na misimamo ya CHADEMA.

CCM pamoja na kuandaa mapandikizi yao kujaribu kuwalaghai Watanzania, ukweli ni kwamba Watanzania sasa wanaonesha kuwa wameamka na hawawezi tena kulaghaiwa na CCM.

Jioneeni wenyewe Watanzania wanavyowapasua CCM na Tume yao ya kitapeli👇
View attachment 3301919View attachment 3301920View attachment 3301921View attachment 3301925View attachment 3301926View attachment 3301928View attachment 3301929

Poleni sana CCM. Kwa hali hii Watanzania Wameshazuiq huu Uchaguzi. Mnaweza msielewe ila mnaweza kuwa na Wapuga kura laki 2 Tanania nzima hapo Desemba
Yaani unavyohangaika kuionyesha Chadema kuwa inapendwa na Watz as if wengine hatupo mitaani. Watz hawana mpango kabisa ndio maana hata Mwenyekiti wako alikamatwa kama kuku na ameshafikishwa mahakamani kujibu tuhuma za uhaini na watz hawana mpango naye kabisa.
 
Ninahofu na miaka ijayo kizazi kitakacho kuja hakitaielewa chama langu la CCM,
 
Maisha ya mtandaoni!
Uraiani vijana hawana habari.
Wako busy kujadili Simba na Yanga.
Liambie hilo linyumbu liongo. Kuna minyumbu myenzake humu Kila wakati anafika kuwadanganya na vinyuzi vyake uchwara. Yaani katika mtu aliyesahaulika halaka ni huyo........juzi tu lakini watu Wala hawamzungumzii Huku mtaani. Aisee nyumbu liongo hili, dah!
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Kama Raia wa kawaida kabisa, Binafsi sitaenda kupiga Kura...!
 
Yaani unavyohangaika kuionyesha Chadema kuwa inapendwa na Watz as if wengine hatupo mitaani. Watz hawana mpango kabisa ndio maana hata Mwenyekiti wako alikamatwa kama kuku na ameshafikishwa mahakamani kujibu tuhuma za uhaini na watz hawana mpango naye kabisa.
Hadi huku mtaani ni hivyo hivyo. Sijui wewe upo mtaa gani wanasupport upumbavu wa CCM?
 
Lissu siyo mtu wa kawaida!
 
Attachments

  • tiktok_1744461211098.mp4
    6.1 MB
Hadi huku mtaani ni hivyo hivyo. Sijui wewe upo mtaa gani wanasupport upumbavu wa CCM?
Msikilize Mhaini hapa chini. Halafu unataka tumuunge mkono ujinga wake.

Kuna vitu watu wanaweza kukufanyia wakadhani wamekumaliza kumbe ndo wamekunyanyua mara 1000 zaidi.

Pamoja na hila na madhila yote ambayo CCM wamewafanyia na wanawafanyia CHADEMA, ukweli ni kwamba kila siku Watanzania wameonesha kuzidi kukiunga mkono Chadema na ajenda zao kwa kasi ya kutisha.

Kati ya jambo linalonishangaza ni kwamba hata zile Account zinazofahamika kupost masuala ya hovyo au masuala ambayo hayaendani na siasa wa masuala ya nchi zimeonesha kuunga mkono juhudi za Chadema kutaka mabadiliko ya mifumo ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi.

Leo nimepitia Mtandao wa X na Facebook. Kusema kweli kwa hali niliyoiona, napenda kuhitimisha kuwa CHADEMA ni mashindi maana No Reform No Election imekubaliwa na kila Mtanzania sasa.

No Reform No Election inazungumzwa na kila Mtanzania sasa na wote wanaiunga mkono pamoja na misimamo ya CHADEMA.

CCM pamoja na kuandaa mapandikizi yao kujaribu kuwalaghai Watanzania, ukweli ni kwamba Watanzania sasa wanaonesha kuwa wameamka na hawawezi tena kulaghaiwa na CCM.

Jioneeni wenyewe Watanzania wanavyowapasua CCM na Tume yao ya kitapeli👇
View attachment 3301919View attachment 3301920View attachment 3301921View attachment 3301925View attachment 3301926View attachment 3301928View attachment 3301929

Poleni sana CCM. Kwa hali hii Watanzania Wameshazuiq huu Uchaguzi. Mnaweza msielewe ila mnaweza kuwa na Wapuga kura laki 2 Tanania nzima hapo Desemba
Pamoja na hila na madhila yote ambayo CCM wamewafanyia na wanawafanyia CHADEMA, ukweli ni kwamba kila siku Watanzania wameonesha kuzidi kukiunga mkono Chadema na ajenda zao kwa kasi ya kutisha.📌🔨
 
Kuna uhaini gani hapo?

Nyie mliokimbia shule mmejazana huko CCM punguzeni kujifanya mnajua Sheria. Unajua maana ya Uhaini wewe?
Wewe naona ulienda shule kukariri huja elimika kabisa ndio maana unahangaika na definition ya uhaini. Halafu eti na wewe ni mwanasheria!!!
 
Back
Top Bottom