Kuna vitu watu wanaweza kukufanyia wakadhani wamekumaliza kumbe ndo wamekunyanyua mara 1000 zaidi.
Pamoja na hila na madhila yote ambayo CCM wamewafanyia na wanawafanyia CHADEMA, ukweli ni kwamba kila siku Watanzania wameonesha kuzidi kukiunga mkono Chadema na ajenda zao kwa kasi ya kutisha.
Kati ya jambo linalonishangaza ni kwamba hata zile Account zinazofahamika kupost masuala ya hovyo au masuala ambayo hayaendani na siasa wa masuala ya nchi zimeonesha kuunga mkono juhudi za Chadema kutaka mabadiliko ya mifumo ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi.
Leo nimepitia Mtandao wa X na Facebook. Kusema kweli kwa hali niliyoiona, napenda kuhitimisha kuwa CHADEMA ni mashindi maana No Reform No Election imekubaliwa na kila Mtanzania sasa.
No Reform No Election inazungumzwa na kila Mtanzania sasa na wote wanaiunga mkono pamoja na misimamo ya CHADEMA.
CCM pamoja na kuandaa mapandikizi yao kujaribu kuwalaghai Watanzania, ukweli ni kwamba Watanzania sasa wanaonesha kuwa wameamka na hawawezi tena kulaghaiwa na CCM.
Jioneeni wenyewe Watanzania wanavyowapasua CCM na Tume yao ya kitapeli👇
View attachment 3301919View attachment 3301920View attachment 3301921View attachment 3301925View attachment 3301926View attachment 3301928View attachment 3301929
Poleni sana CCM. Kwa hali hii Watanzania Wameshazuiq huu Uchaguzi. Mnaweza msielewe ila mnaweza kuwa na Wapuga kura laki 2 Tanania nzima hapo Desemba