Ni maamuzi gani ya Hayati Magufuli yaliyokuathiri katika levo yako binafsi au familia

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
7,968
Reaction score
19,368
CHANYA
Maji- Kwa mara ya kwanza tangu kuwekwa historia ya dunia majinsafi yaliletwa mtaani kwetu.

COVID 19. Nilikuwa na msimamo wa kuovaa Barakoa maana niliamini Covid 19 haipo. Msimamo wake uliungana na wangu iliniondolea usumbufu mkubwa hasa kwa wale wanaopenda magonjwa na habari za kufakufa.

HASI
-

Ni hayo tu.
Alikuathili vipi chanya au hasi katika level ya mtu binasi au familia?
 
HASI
Wakati anaondoa wenye vyeti feki makazini mama yangu naye alikuwa mmoja wapo ( Tulipitia msoto kwa namna flani maana tulizoea maisha marahisi ) ...

All in All nadhani anayo mazuri mengi pia japo sioni kama yananigusa moja kwa moja
 
Chanya.
Uwajibikaji katika kila taasisi. Unahudumiwa kwa haraka.

Ajali zilipungua.

Heshima kwa viongozi ilipanda.

Rushwa ilipungua

Boom lilikuwa linawahi kuingia

Hasi.
Watu walifanya kazi kwa woga na sio kutoka moyoni.
 
HASI
Wakati anaondoa wenye vyeti feki makazini mama yangu naye alikuwa mmoja wapo ( Tulipitia msoto kwa namna flani maana tulizoea maisha marahisi ) ...

All in All nadhani anayo mazuri mengi pia japo sioni kama yananigusa moja kwa moja
Pole sana mkuu.
 
Umeandika vizuri sana, pole kwa mama.
Hakuna upande usio kuwa na kuwili , katika ubaya upande wa pili kuna jema na kinyume chake pia.
 
CHANYA
Maji- Kwa mara ya kwanza tangu kuwekwa historia ya dunia majinsafi yaliletwa mtaani kwetu.

COVID 19. Nilikuwa na msimamo wa kuovaa Barakoa maana niliamini Covid 19 haipo. Msimamo wake uliungana na wangu iliniondolea usumbufu mkubwa hasa kwa wale wanaopenda magonjwa na habari za kufakufa.

HASI
-

Ni hayo tu.
Alikuathili vipi chanya au hasi katika level ya mtu binasi au familia?
Mm pia nilifurah sana aliposema hakuna COVID 19 na watu warud vyuoni na mashulen
 
Chanya
Uwajibikaji kwa baadhi ya sekta

Hasi
Kikosi kazi chake kiliteka baadhi ya ndgu zangu wenye kipato na kuwashuritisha waseme wanatoa wapi pesa, waliwapa ulemavu wa kudumu na magonjwa kwa kigezo cha maagizo toka juu.
 
Hasi
-Nilifunga duka langu kariakoo baada ya kuletewa kodi kubwa ya kubumbwa na kutishiwa jela
-Binamu yangu alipukutishwa hela zake benki, na kufungiwa bureau de change yake halali yenye vibali vyote
-Pia kulikuwa maafisa wanakinyemelea kiwanja changu kigamboni kisota baada ya kumvaa na kumuhoji jirani alikuwa ameshajenga na kuishi pale

Ni mengi sema wanyonge wao walishangilia kuona kila aliejitahidi na kufanikiwa akipukutishwa
Tunashukuru karma ilifanya kazi
 
Ilikuwa kila saa mbili usiku kila mtu alisogea karibu na tv kujua siku hiyo Simba wa Chato anaungurumia wapi.. vilevile nilikwenda hospitali moja nikapokelewa km mfalme na kupewa stahiki zote.. Mlio wa SIMBA ulivuka hadi mipaka ya Tanzania hadi DRC..
 
Aisee pole sana.
 
Ni kweli. Alikuwa akiunguruma hadi vijijini kqbisa serikali isikofika walitetemeka utadhani yuko nje ya nyumba. Kuna mratibu mmoja alikuwa anasimamia ujenzi wa madarasa kijijini alikuwa bize balaa akiogopa asikosee au asizembee asikufikiwa na mkono wa Si mba.
 
Back
Top Bottom