matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Pole sana mkuu.HASI
Wakati anaondoa wenye vyeti feki makazini mama yangu naye alikuwa mmoja wapo ( Tulipitia msoto kwa namna flani maana tulizoea maisha marahisi ) ...
All in All nadhani anayo mazuri mengi pia japo sioni kama yananigusa moja kwa moja
Asante mkuu LilipitaPole sana mkuu.
Umeandika vizuri sana, pole kwa mama.HASI
Wakati anaondoa wenye vyeti feki makazini mama yangu naye alikuwa mmoja wapo ( Tulipitia msoto kwa namna flani maana tulizoea maisha marahisi ) ...
All in All nadhani anayo mazuri mengi pia japo sioni kama yananigusa moja kwa moja
Mm pia nilifurah sana aliposema hakuna COVID 19 na watu warud vyuoni na mashulenCHANYA
Maji- Kwa mara ya kwanza tangu kuwekwa historia ya dunia majinsafi yaliletwa mtaani kwetu.
COVID 19. Nilikuwa na msimamo wa kuovaa Barakoa maana niliamini Covid 19 haipo. Msimamo wake uliungana na wangu iliniondolea usumbufu mkubwa hasa kwa wale wanaopenda magonjwa na habari za kufakufa.
HASI
-
Ni hayo tu.
Alikuathili vipi chanya au hasi katika level ya mtu binasi au familia?
Ilikuwa mbaya sana...baadae zikaachwa mtaani, zikapotea, nchi ikakaukiwa!Pesa Bureau De Change zilikombwa.
Aisee pole sana.Hasi
-Nilifunga duka langu kariakoo baada ya kuletewa kodi kubwa ya kubumbwa na kutishiwa jela
-Binamu yangu alipukutishwa hela zake benki, na kufungiwa bureau de change yake halali yenye vibali vyote
-Pia kulikuwa maafisa wanakinyemelea kiwanja changu kigamboni kisota baada ya kumvaa na kumuhoji jirani alikuwa ameshajenga na kuishi pale
Ni mengi sema wanyonge wao walishangilia kuona kila aliejitahidi na kufanikiwa akipukutishwa
Tunashukuru karma ilifanya kazi
Ni kweli. Alikuwa akiunguruma hadi vijijini kqbisa serikali isikofika walitetemeka utadhani yuko nje ya nyumba. Kuna mratibu mmoja alikuwa anasimamia ujenzi wa madarasa kijijini alikuwa bize balaa akiogopa asikosee au asizembee asikufikiwa na mkono wa Si mba.Ilikuwa kila saa mbili usiku kila mtu alisogea karibu na tv kujua siku hiyo Simba wa Chato anaungurumia wapi.. vilevile nilikwenda hospitali moja nikapokelewa km mfalme na kupewa stahiki zote.. Mlio wa SIMBA ulivuka hadi mipaka ya Tanzania hadi DRC..