Ni macho yangu au nimekosea! Msaada nifaamishwe hiki ni kitu gani!

LUKAMA

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
1,117
Reaction score
1,343
Nipo nafanya kazi kwenye ofisi fulani hivi za serikali mkoa Kilimanjaro. Ninapokaa hapa unaweza kuona kwa uzuri kabisa maua yaliopo nje, katika kopo moja wapo kuna ua la kawaida na jani lImeota pembeni yake. Kama nilivyoweka picha hapo chini.
Sasa tunabisha wengine wanasema ni weed na wengine wanasema ni jani tu la kawaida

Mwenye uelewa zaidi kwenye vitu kama hivi



 
Mkuu hiyo ni aina ya weed kwa jina la kitaalam inaitwa 'black jack' na kwa kimeru 'wondering jew'.
 
Mkuu iyo ni aina ya weed kwa jina la kitaalam inaitwa 'black jack' na kwa kimeru 'wondering jew'.
Hii ni indica, ina matawi mapana-mafupi.
when you smoke it u get high on both brain and body compared to sativa which u get high only on brain.

I prefer sativa( kuifahamu sativa majani yake ni membamba-marefu)
 
Heee.. Tobaaa

Kumbe bangi ndo ipo hivoooo? Asa kwanini mmepanda ofisini jamani si kosa kisheria?

Ila hilo uwa la bangi mbona zuri mi nikajua bangi wanavoisema ni hatari Basi limti lake nilitegemea limetishaaa tishaaa hiviii

Mkuu ng'oa fasta itakuwa kesi hiyo Tafadhali usivunje sheria bwana we ing'oe tu utaenda jela bure shauri yako.
 
Inaonekana hiyo ofisi ni mabingwa wa hiyo kitu. Maana palipo na moshi hapakosi......
Umekosea. Hawasemi Hee tobaaaaa! Hapana, ni: Hee toooooobaa!
 
Puff puff and puffing!Pass it,broda!Irieeeeee!😝😝😝😝😝
 
Ndio uje sasa kuwa watumishi wa serikali yenu wanakula mjani, hii kitu ni ganja mzee baba hapo kama ni ofisi ya serikali mjua kuna wala majani hapo , sema kwakua hawana kazi ya kufanya zaidi ya kuhangaika na upinzani na vijimambo kama hivyo angalia vizuri usije kuwa muhanga
 
Hilo ni jani la weed.. Ama wenyewe wanaita ni mjani wa weed au mchicha pori
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…