Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Mtumishi wa kweli hawezi kuishabikia CCM.Labda kinafiki ili aishi na Misisiem kwa uzuri.Ndio uje sasa kuwa watumishi wa serikali yenu wanakula mjani, hii kitu ni ganja mzee baba hapo kama ni ofisi ya serikali mjua kuna wala majani hapo , sema kwakua hawana kazi ya kufanya zaidi ya kuhangaika na upinzani na vijimambo kama hivyo angalia vizuri usije kuwa muhanga
kwanza kabisa wondering jew na black jack(bidens pilosa) ni vitu viwili tofauti, pili hiyo ni bangi aka canabis sativa ila kwa mbaali inafanana na bidens pilosa...since hapa kuna picha ya canabis ngoja niweke ya bidens pilosa uone tofauti....Mkuu iyo ni aina ya weed kwa jina la kitaalam inaitwa 'black jack' na kwa kimeru 'wondering jew'.
chukulia uko Canada, ni mmea kama mmea mwingine
Namwambia mkuu wangu kuna bangi imeota hapa, anasema hana uhakikaki tuache hadi ikomae ndo tu-proof kama kweli ni yenyewe au laa 😂😂😂Heee.. Tobaaa
Kumbe bangi ndo ipo hivoooo? Asa kwanini mmepanda ofisini jamani si kosa kisheria?
Ila hilo uwa la bangi mbona zuri mi nikajua bangi wanavoisema ni hatari Basi limti lake nilitegemea limetishaaa tishaaa hiviii
Mkuu ng'oa fasta itakuwa kesi hiyo Tafadhali usivunje sheria bwana we ing'oe tu utaenda jela bure shauri yako.
Umekosea mkuu wewe ungeyang'oa tu kimyakimya kaka, kuyaacha ni chanzo cha matatizo watakuja polisi mfungwe iwe msala na mzigo kwa familia mtakazo ziacha uraiani.Namwambia mkuu wangu kuna bangi imeota hapa, anasema hana uhakikaki tuache hadi ikomae ndo tu-proof kama kweli ni yenyewe au laa 😂😂😂
Hapana sio sigara mkuu hio wanasema ni bangi na bangi imekatazwa kisheria heri waing'oe fasta kabla sheria haijawabanaSigara bwege
Imeota kwenye maua ya ofisi sasa hapo nitakamatwa vipi mimi😎🤤🤤Umekosea mkuu wewe ungeyang'oa tu kimyakimya kaka, kuyaacha ni chanzo cha matatizo watakuja polisi mfungwe iwe msala na mzigo kwa familia mtakazo ziacha uraiani.
Mimi nashauri ung'oe tu mapema kaka think about your tomorrow
Najua mtumishi.Hapana sio sigara mkuu hio wanasema ni bangi na bangi imekatazwa kisheria heri waing'oe fasta kabla sheria haijawabana
Duh kumbe! Sawa kakaNajua mtumishi.
Sigara bwege ni Street slang ya bangi
LegacyNipo nafanya kazi kwenye ofisi fulani ivi za serikali mkoa kilimanjaro. Ninapo kaa hapa unaweza kuona kwa uzuri kabisa maua yaliopo nje, katika kopo moja wapo kuna ua la kawaida na jani lemeota pembeni yake. Kama nilivoweka picha hapo chini
Sasa tunabisha wengine wanasema ni weed na wengibe wanasema ni jani tu la kawaida
Mwenye uelewa zaidi kwenye vitu kama hivi
View attachment 1941871
View attachment 1941872
Kuna waziri kateuliwa juzi baba yake aliwahi kuwa mtu mkubwa sana CCM na mkoa fulani hapa Tanzania ambapo ukiwa mkuu wa mkoa huo unajikuta kwamba wewe ni gavana wa CALIFORNIA..Huyo waziri anakula ganja mpaka kesho nilipiga nae school moja Morogoro baba yake alikuwa akisikia mwanae kafanya msala anakuja kumuweka bakora hadharani kipigo haswaaa,Lakini mtoto mpaka kaingia kwenye siasa,kawa mbunge,waziri lakini ganja hadi kesho anapiga hajawahi kuacha tangu tujuane from school mpaka leo hiiNdio uje sasa kuwa watumishi wa serikali yenu wanakula mjani, hii kitu ni ganja mzee baba hapo kama ni ofisi ya serikali mjua kuna wala majani hapo , sema kwakua hawana kazi ya kufanya zaidi ya kuhangaika na upinzani na vijimambo kama hivyo angalia vizuri usije kuwa muhanga