Ni macho yangu au nimekosea! Msaada nifaamishwe hiki ni kitu gani!

huyo mkuu wenu anakula ganja....hapo kuna mtu alidondosha vipeke vyake sio buree
 
Mkuu katoe haraka Sana kabla hawajakufkia
 
Tumia Google lens
Tumia Google lens kupiga picha itakupa jibu
 
Duuh hapo tunasema ni kazi na dawa
Mood ikishuka unajichumia kama mchicha then kinahappen

Mjiabgalie mwenye jicho la nyanya huyo ndo mmiliki wa uoto wa asili
Kitu cha mjani (smoki widi )
 
Lakini yule Boss aliyetoa maelekezo kwamba ni maua gani yapandwe na kutunzwa vyema analisemeaje hilo ua? au ni Tunza Likutunze?
 
Lakini yule Boss aliyetoa maelekezo kwamba ni maua gani yapandwe na kutunzwa vyema analisemeaje hilo ua? au ni Tunza Likutunze?
Yeye amesema kama ni bangi itajulika mbele ya safari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…