Ni mada gani ya debate hata iweje lazima umshinde mpinzani wako?

I am Groot

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
3,929
Reaction score
10,747
Kuna mada mbalimbali ambazo kwa namna moja au nyingine ukikutana nayo mbele yako hakuna atakaye weza kukupindua. Ni mada gani?

Nikiri kuwa 'mabishano/majibizano ya hoja' ni sanaa na katika sanaa hii kuna watu wanakipaji haswa katika hilo. Kuna watu hawezi kuwsshinda inapokuja jambo. Na kuna wengine wakakuwa na wazo ila kujieleza ndio shuhuli ilipo.
 
Education is better than money🐒
 
Kipi kilitangulia kati ya yai na kuku
 
When it comes to reproductive health and wellbeing, does the is the government have a role or not?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…