I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Kuna mada mbalimbali ambazo kwa namna moja au nyingine ukikutana nayo mbele yako hakuna atakaye weza kukupindua. Ni mada gani?
Nikiri kuwa 'mabishano/majibizano ya hoja' ni sanaa na katika sanaa hii kuna watu wanakipaji haswa katika hilo. Kuna watu hawezi kuwsshinda inapokuja jambo. Na kuna wengine wakakuwa na wazo ila kujieleza ndio shuhuli ilipo.