Ni madhara gani unapata mtu unapojambiwa?

Huyu dogo bonge ni roommate wangu chuo kimoja hapa Tanganyika.

Mshikaji anajamba usiku kucha halafu mwenyewe wala hata ajui anajamba usingizini sina raha hata ya kuishi nae.

Kanikela vibaya sijui nawaza nimchane hii tabia yake inanikera kishenzi.
demokrasia imezidi sana tunaomba la saba wasiruhusiwe humu tafadhali
 
Huyu dogo bonge ni roommate wangu chuo kimoja hapa Tanganyika.

Mshikaji anajamba usiku kucha halafu mwenyewe wala hata ajui anajamba usingizini sina raha hata ya kuishi nae.

Kanikela vibaya sijui nawaza nimchane hii tabia yake inanikera kishenzi.

Halafu isiwe ni wewe ndiye unayejamba na unamsingizia dogo.😏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…