cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Abeeeeeh uduguuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Uduguu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Abeeeeeh uduguuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Uduguu
Hiyo uduguu nawasikiaga walugulu wanaitana wananichekeshaga sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Abeeeeeh uduguuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Abeeeeeh uduguuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
demokrasia imezidi sana tunaomba la saba wasiruhusiwe humu tafadhaliHuyu dogo bonge ni roommate wangu chuo kimoja hapa Tanganyika.
Mshikaji anajamba usiku kucha halafu mwenyewe wala hata ajui anajamba usingizini sina raha hata ya kuishi nae.
Kanikela vibaya sijui nawaza nimchane hii tabia yake inanikera kishenzi.
Na ww ni wale wale nini wa kujambia wenzio???demokrasia imezidi sana tunaomba la saba wasiruhusiwe humu tafadhali
Huyu dgo anapenda kula kuliko Chochote Jana kapost anakula kisinia kile na wenzieDah mchunguze misos anayokula aachane nayo...Kama anakula Sana mayai apunguze
🤣🤣🤣🤣 Mimi sijui mzeeHiki kichwa ndo ulipewa uongoze familia.View attachment 2655230
🤓Huyu dogo bonge ni roommate wangu chuo kimoja hapa Tanganyika.
Mshikaji anajamba usiku kucha halafu mwenyewe wala hata ajui anajamba usingizini sina raha hata ya kuishi nae.
Kanikela vibaya sijui nawaza nimchane hii tabia yake inanikera kishenzi.
Huu ni mojawapo ya threads za ovyo zaidi kwa karne hii tuliyopo. Vizazi vya baadae vitaulizana tuliwezaje kuishi na mtu mpuuzi kama mleta uzi.
Huyu dogo bonge ni roommate wangu chuo kimoja hapa Tanganyika.
Mshikaji anajamba usiku kucha halafu mwenyewe wala hata ajui anajamba usingizini sina raha hata ya kuishi nae.
Kanikela vibaya sijui nawaza nimchane hii tabia yake inanikera kishenzi.
Mama nakuomba usinipangie maishaHuu ni mojawapo ya threads za ovyo zaidi kwa karne hii tuliyopo. Vizazi vya baadae vitaulizana tuliwezaje kuishi na mtu mpuuzi kama mleta uzi.
Hapana Mzee siwezi kufanya hivyo 🤣🤣Halafu isiwe ni wewe ndiye unayejamba na unamsingizia dogo.😏
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwann??Hiyo uduguu nawasikiaga walugulu wanaitana wananichekeshaga sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app