Ni maeneo gani huwa yanatumika kuficha kamera za Siri?

Ni maeneo gani huwa yanatumika kuficha kamera za Siri?

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
Vifaa vya umeme kama simu, vifaa vya alarm na smoke detectors, pamoja na Chaji ya simu (USB) kwa sababu camera hizo sa siri huwa zinahitaji kuwa na chaji mara kwa mara.

Vioo hasa vinavyoruhusu mtu kuona upande wa pili ( Two way Mirror), mapambo kama vile fremu za picha, kitasa, saa za ukutani, kwenye vitasa au mabomba ya bafuni na sink za chooni.

Samani za ndani kama vile meza, makabati ya nguo, droo pamoja na taa za ndani na soketi za umeme.

Vifaa Janja kama vile miwani Meta Smart Glasses), Runinga, vifaa vya kumwangalizia mtoto (baby monitors).
 
Back
Top Bottom