Ni maeneo gani mazuri ya kutembelea nikiwa Moshi au Arusha?

Nenda Kibosho Kirima ushukie KNCU utakutana na bar zenye nyama choma ya mbuzi. kitimoto cha ku-roast. Mbege nzuri hatari. banana . vimwana. usafiri wa taxi na boda boda vinapatikana!
 
Kuhusu mbege sawa Sawa kuna watu Dsm hadi wanajiita mama mbege au baba mbege, nitaenda nipate radha yake
 
Makumba Bay+ Malindi[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji344] [emoji344] [emoji344] [emoji344] [emoji328]
 
Back
Top Bottom