Ni maeneo gani mazuri ya kutembelea nikiwa Moshi au Arusha?

Ni maeneo gani mazuri ya kutembelea nikiwa Moshi au Arusha?

Muanzisha kamba tumekusoma shida yako.uliza malindi ilipo pale nadhani ni Muafaka zaidi.Waweza pita Raliga au Pub alberto pia.Kuwa na amani hawa hawana tabia kama za wa Arusha
 
1473925576080.png
meku patamu
 
1473925845782.png
Ngoja niende Arusha wenyeji wa huko tafadhali sehemu za kushangaa
 
kuna machimbo ya hatare
uchafu unatupwa huko ila kuna mgodi wa taka yaani utashangaa
Ok ila nimegundua kuna mikoa ina wasichana wazuri by nature ukiacha Singida Moshi pia imo sijui Arusha kwa vile naenda leo nitaona, miss natafuta upo wapi kwani
 
Ok ila nimegundua kuna mikoa ina wasichana wazuri by nature ukiacha Singida Moshi pia imo sijui Arusha kwa vile naenda leo nitaona, miss natafuta upo wapi kwani
huko kwetu kwa sasa nipo dar ungeniambia ningekuagizia ukalale nyumbani kwetu
 
Duh kwenu tena babako angeelewa somo, naenda Arusha au huko siyo kwenu pia
 
Back
Top Bottom