Ni maeneo gani mazuri ya kutembelea nikiwa Moshi au Arusha?

Ni maeneo gani mazuri ya kutembelea nikiwa Moshi au Arusha?

Karibia na kinuka mori pazuri sana meku ukipafika lazima u-haddithie uone na watoto wazuri usoni na hapo kifuani miguu sasa kama akina asha ngedere pia usisahau kupita kwetu Soweto watakupa machalari ule ukahaithie kwenu
 
nenda pande za Sanawari, Ilboru kuna ubaridi mzuri na lodge nzuri, pia kama wewe ni mnywaji wa bia basi Arusha ndio sehemu nzuri ya kupata bia na nyama choma iliyotulia, vipi utarudi tena Moshi?
 
nenda pande za Sanawari, Ilboru kuna ubaridi mzuri na lodge nzuri, pia kama wewe ni mnywaji wa bia basi Arusha ndio sehemu nzuri ya kupata bia na nyama choma iliyotulia, vipi utarudi tena Moshi?
Nitarudi mkuu nahisi nimepapenda zaidi ya Arusha sijui lakini maana Arusha nimeingia leo
 
Tukutane Kwa Morombo baadae.. Mbuzi wako wa kutosha
 
Nenda Club D maeneo ya Moshono kuanzia ijumaa mpk j2 jioni kunakuaga [emoji108][emoji108]
 
Kama ww ni mzee wa Mizigo ukiwa Arusha nenda Picnic (free stress zone) ukitoka hapo Malizia na PIN POINT.
 
Back
Top Bottom