Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaa..unamtafutia mtu ngeuMiss Natafuta post: 17638055 said:huko kwetu kwa sasa nipo dar ungeniambia ningekuagizia ukalale nyumbani kwetu
Wachaga wengi wamechangamka kidigitali kuliko watu wa makabila mengine..Nimegundua jf ina wachaga wengi sana
haha njia katazwaHawo ni wa kushangaa, inapendeza kumuona binti wa kabila kubwa akitafuta hela kwa njia katazwa
Ningeenda mkuu sasa nipo Arusha, ila wachaga wameikaba hadi jamiiforum, nahisi hata ma admin wapo wachaganenda black diamond
Nipo Arusha mkuuNjoo hapa sokoni manyema utanikuta nauza mchicha uniungishe.
Umeona ee hawanielekezi Arusha nikashangae wapiNimegundua jf ina wachaga wengi sana
Ningeenda mkuu sasa nipo Arusha, ila wachaga wameikaba hadi jamiiforum, nahisi hata ma admin wapo wachaga
Basi ukipata siku njoo hapa tupige storyNipo Arusha mkuu
PoaBasi ukipata siku njoo hapa tupige story
Nitarudi mkuu nahisi nimepapenda zaidi ya Arusha sijui lakini maana Arusha nimeingia leonenda pande za Sanawari, Ilboru kuna ubaridi mzuri na lodge nzuri, pia kama wewe ni mnywaji wa bia basi Arusha ndio sehemu nzuri ya kupata bia na nyama choma iliyotulia, vipi utarudi tena Moshi?
Bora ulivyoonaHahaa..unamtafutia mtu ngeu
Nitarudi mkuu nahisi nimepapenda zaidi ya Arusha sijui lakini maana Arusha nimeingia leo
Ni Meku's mkuu.View attachment 400577meku patamu
Tembelea Mt Meru hotel Leo alhamis kuna happy hour + live band! Utafurahia nadhani.Nipo Arusha mkuu