elimuplatform
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,054
- 462
Duh na kuwaona wa bei cheeKama unataka kushangaa nakushauri uende Pasua mpaka mitaa ya Mabogini huko ukakutane na vumbi ambalo pengine hujawahi kukutana nalo maisha yako yote..
Hao wako Malindi mkuuDuh na kuwaona wa bei chee
Mkuu umeniacha kutembelea uruu tenaNjoo malindi, black d, au pub Alberto izo zetu watoto wa kwenye vumbiiii kesho unaeza tembelea uruu, sehemu zingine ukija next time
Kuhusu mbege sawa Sawa kuna watu Dsm hadi wanajiita mama mbege au baba mbege, nitaenda nipate radha yakeNenda Kibosho Kirima ushukie KNCU utakutana na bar zenye nyama choma ya mbuzi. kitimoto cha ku-roast. Mbege nzuri hatari. banana . vimwana. usafiri wa taxi na boda boda vinapatikana!
Linatimuka au lipo kama la jangwaniKama unataka kushangaa nakushauri uende Pasua mpaka mitaa ya Mabogini huko ukakutane na vumbi ambalo pengine hujawahi kukutana nalo maisha yako yote..
Hawo ni wa kushangaa, inapendeza kumuona binti wa kabila kubwa akitafuta hela kwa njia katazwaDuh na kuwaona wa bei chee
Kweli kuwa mgeni kila kitu unashangaaUru water falls
Malindi tokea majengo unafikaje mkuuHao wako Malindi mkuu
Nishaku pmni PM
Kuzuri somehow hali ya hewa ya ubaridiiii mji wa moshi unauona kule chiniiii jua linawaka ila huko uru ukungu halafu shuhudia maporomoko ya ajabuajabu landslide isitokee tu, umeme upo note bodaboda wanagonga ngeli mbayaUru water falls
Mkuu Kevin Asante kwa ukarimu wako tumetembea lakini pale meku sijui meru ni patamu sana big upni PM