poa poa karibu tenaMkuu Kevin Asante kwa ukarimu wako tumetembea lakini pale meku sijui meru ni patamu sana big up
Asante pamojapoa poa karibu tena
Mashoga vepee na KY ishapigwa marufuku after all situmii hiyo kituNenda malindi kuna mashoga wa kumwaga
Wa Arusha wapoje mkuuMuanzisha kamba tumekusoma shida yako.uliza malindi ilipo pale nadhani ni Muafaka zaidi.Waweza pita Raliga au Pub alberto pia.Kuwa na amani hawa hawana tabia kama za wa Arusha
aende kaloleniKama unataka kushangaa nakushauri uende Pasua mpaka mitaa ya Mabogini huko ukakutane na vumbi ambalo pengine hujawahi kukutana nalo maisha yako yote..
Kaloleni kuna nini tenaaende kaloleni
kuna machimbo ya hatareKaloleni kuna nini tena
Ok ila nimegundua kuna mikoa ina wasichana wazuri by nature ukiacha Singida Moshi pia imo sijui Arusha kwa vile naenda leo nitaona, miss natafuta upo wapi kwanikuna machimbo ya hatare
uchafu unatupwa huko ila kuna mgodi wa taka yaani utashangaa
huko kwetu kwa sasa nipo dar ungeniambia ningekuagizia ukalale nyumbani kwetuOk ila nimegundua kuna mikoa ina wasichana wazuri by nature ukiacha Singida Moshi pia imo sijui Arusha kwa vile naenda leo nitaona, miss natafuta upo wapi kwani
KivipMoshi panachosha sana.
Kaloleni downtown viwandani mpaka njoro kule kwenye chemchemaende kaloleni
townwewe jamaa moshi upo sehemu gani?!