Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Yaani ukifika maeneo hayo network inakua hakuna kabisa. huwezi kutumia simu kuwasiliana, yaani huwezi kupiga simu wala kupokea, huwezi kutuma sms au kupokea sms.
Network inakua hakuna kwa ujumla, na zaidi sana hakuna kabisa Internet network..
Yapo maeneo humo humo njiani network iko full tena ni ya kasi ya ajabu. unaweza kupiga simu au kupokea sms kama kawaida, na zaidi sana unaweza kutumia internet network vizuri.
Umewahi kukutana na changamoto hii ukiwa safari kutumia barabara au reli ?
unadhani hali hii ya kimazingira, husababishwa na nini hasa kitaalamu? 🐒