Bata katanguliza watotoMbona Mbowe haendi?
Chauma mdhamini wao si ni MboweChama kikubwa Cha upinzani Tanzania kimefanya mkutano mkubwa wa aina yake uko Kilimanjaro.
Ikimbukwe mkoa huo viongozi wengi wa chadema katika mkoa huo walihamia CHAUMA.View attachment 3412144
Strong contender wa Samiaššš aisee kweli chama kikuu cha upinzani
Hakuna pa kukanyagaWatu wamejaa mfano wa mchanga wa ufukweni mwa bahariš
Meza wembeNonsense!
Meza wembeMto wa mbu ni chadema damu nikataka nishangae, huyu anaisifiaje chaumma?,nikasema ni lazima ndani ya hadith/porojo husika kutakuwa na maudhui ya uongo mkubwa sana,
HALI HALISI NDIYO HII,TUACHE UPOTOSHAJI View attachment 3412157
ššHicho ndio chama cha "upinzani" cha mama.
DJ Mbowe kwenye moja na mbili
Anaongea na maiki pekee yake juanišššChama kikubwa Cha upinzani Tanzania kimefanya mkutano mkubwa wa aina yake uko Kilimanjaro.
Ikimbukwe mkoa huo viongozi wengi wa chadema katika mkoa huo walihamia CHAUMA.View attachment 3412144
ubakishe na maneno ya baadae, kama unafuatilia siasa utanielewaChama kikubwa Cha upinzani Tanzania kimefanya mkutano mkubwa wa aina yake uko Kilimanjaro.
Ikimbukwe mkoa huo viongozi wengi wa chadema katika mkoa huo walihamia CHAUMA.View attachment 3412144