MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Leta picha za kuanzia saa 11Chama kikubwa Cha upinzani Tanzania kimefanya mkutano mkubwa wa aina yake uko Kilimanjaro.
Ikimbukwe mkoa huo viongozi wengi wa chadema katika mkoa huo walihamia CHAUMA.View attachment 3412144