Ni mafuta gani mazuri ya kichwani kwa wanaume?

Ni mafuta gani mazuri ya kichwani kwa wanaume?

Ya kitimoto mazuri sana,nywele inalala kama manyoya
 
Yanaweka nywe kwenye muonekano gani? Naweka kupaka mimi ambae nywele zangu hazina dawa?
Zinakuwa za kuvutia na rangi yake hasili, yani hata zikiwa ndefu haziwi nyekundu..
Unaweza kutumia kwa nywele aina zote.
 
IMG_20170917_110759.jpg
 
Back
Top Bottom