Ni magari gani manne (4) utanunua endapo utakuwa na uwezo?

Ni magari gani manne (4) utanunua endapo utakuwa na uwezo?

FB_IMG_17220849941172979.jpg
 
Tufanye ndio umetoboa maisha tobotobo una mawe sana, ni gari gani nne uta-Prefer kununua unazozikubali.

Mimi ni hizi
1) BMW X6
2) Range Rover Vorgue
3) Landrover Discover 4
4) Ford Ranger

Zote New Model.
Mkuu uwe unataja mwaka maana New Model ya Bongo ni 2010...
Ford ranger wana
Wildtruck
HR
Thunder
Raptor
Ranger...
BMW X6 nimeona zipo aina nne tofauti na X 5 pia zipo hivyo hivyo kwa Model za karibuni.
Discovery 4 na 3 todauti kubwa ni moja ina Bi Turbo ingine ina Turbo moja vitu vingi sijaona tofauti kwenye Engine zaidi ya body na Taa tu..
Hiyo Vogue ni Vellar na Biography ndio nazielewa vizuri kuliko matoleo mengine wacha tuendelee kupambana tukae humo..
Ya 2018 ina zaidi ya 93m kodi tuu...
 

Rolls Royce Boat,Mercedes Maybach Exelero,Pagani Huayra Codalunga,Lincoln Navigator Black Label L 4x4 , Cadillac Escalade ESV Platinum 4WD​

 
Land rover discovery S4 manina kila siku nasema nikibong'oa lazima niipaki pale chini shenzi type.
 
Back
Top Bottom