mlima wa mizeituni
JF-Expert Member
- Sep 7, 2019
- 1,387
- 2,444
Mwanamke unatakiwa ujue magari ya juu yote ni prado basi! [emoji28][emoji28][emoji28]Nina ndoto zote isipokuwa kumiliki gari ila ukiwa na pesa ni lazima ununue maana ni muhimu kwa ajili ya usafiri na mishemishe za mjini lakini from nowhere tu sijawahi pitisha hata sekunde moja nawaza kuhusu gari yaani siyo area yangu ya interest hata kama ningekuwa naishi kwenye kiwanda cha kutengeneza magari bado nisingejua kuhusu magari au nisingejifunza kuhusu magari sababu siko interested nayo kabisa...