Ni magari gani manne (4) utanunua endapo utakuwa na uwezo?

Ni magari gani manne (4) utanunua endapo utakuwa na uwezo?

Kunako majaliwa ndinga zangu all the time nitachukua;

1.Bentley Bentayga
2.BMW 7 Series
3. Porsche Panamera
 
1.Range Rover Vogue
2.Audi SUV Q6
3.VW Touareg
4.Toyota Fortuner new model
 
Nissan patrol old model,

Landrover discover old model,

Toyota landcruiser v8,

Toyota crown
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
1.Nissan Skyline GT (RB26DETT manual)

2. Toyota Supra (powered with tuned 1JZ-GTE manual transmission)

3.Land Cruiser Series 200 (1VD-FTE manual, nyuma itavuta tela ya boti au mzigo tani 1).

4.Ford F-250 (Huyu punda wa Marekani lazima avute tela ya tani 1)
 
Nina ndoto zote isipokuwa kumiliki gari ila ukiwa na pesa ni lazima ununue maana ni muhimu kwa ajili ya usafiri na mishemishe za mjini lakini from nowhere tu sijawahi pitisha hata sekunde moja nawaza kuhusu gari yaani siyo area yangu ya interest hata kama ningekuwa naishi kwenye kiwanda cha kutengeneza magari bado nisingejua kuhusu magari au nisingejifunza kuhusu magari sababu siko interested nayo kabisa.

Ila nashangaa kuna watu wanayajua majina mpaka model mpaka namba mpaka herufi mpaka mwaka Yaani mpaka injini na matairi😂😂. Ni siku hizi siku hizi ndo nimeanza kujifunza majina na logo zamani nilikuwa hata sijui gari la nyumbani linaitwaje😁

Anyway kuna magari nimeyaona ona sehemu nyingi nikayafurahia Mercedes, BMW, Ferrari, Lamborghini, Porsche na Tesla, usiniulize model au namba maana sijui😁😁.
 
Nina ndoto zote isipokuwa kumiliki gari ila ukiwa na pesa ni lazima ununue maana ni muhimu kwa ajili ya usafiri na mishemishe za mjini lakini from nowhere tu sijawahi pitisha hata sekunde moja nawaza kuhusu gari yaani siyo area yangu ya interest hata kama ningekuwa naishi kwenye kiwanda cha kutengeneza magari bado nisingejua kuhusu magari au nisingejifunza kuhusu magari sababu siko interested nayo kabisa...
Wewe ni mwanamke au mwanaume?
 
Back
Top Bottom