Ni magari gani manne (4) utanunua endapo utakuwa na uwezo?

Ni magari gani manne (4) utanunua endapo utakuwa na uwezo?

Ndiyo. Vipi kwani?
Kwanza mitandaoni nayaona ni very expensive.

Ila binafsi yananivutia. Niliwahi kutamani kumiliki moja hasa Volvo XC 90.

Binafsi napenda sana gari yenye CC kubwa kidogo kuanzia 3000 na kuendelea au 6 cylinders. Ila kwa volvo naona zina CC ndogo.

Napenda power and speed.

Kwa uzoefu wako wa kumiliki Volvo.

Niambie kuhusu Volvo XC 90.

1. Fuel consumption

2. Speed.

3. Reliability.

Niambie zaidi kuhusu Volvo, hasa za kuanzia 2016.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza mitandaoni nayaona ni very expensive.

Ila binafsi yananivutia. Niliwahi kutamani kumiliki moja hasa Volvo XC 90...

Expensive ukilinganisha na gari zipi? Maana ukilinganisha na luxury car brands, Volvo ni the cheapest.

Volvo wapo conscious na mazingira sana. Gari nyingi kama si zote za kuanzia 2015 kuja juu, CC ni ndogo ukilinganisha na washindani wake. Kwa mfano XC90 sasa zinatoka na CC 1969 na 4 cylinders. Ila zinakuwa na horsepower ya 232 na 0-60 in 7.4 seconds. Hii ni diesel engine.

Kwa wastani mafuta ni kati ya 12-13 litres/km.

Petrol engines ndiyo utazipenda zaidi; 1969cc, 4 cylinder, 401 horsepower. Kuna hizi mpya Twin engine, T8 (hybrid).

Na sifa kubwa za Volvo ni safety na reliability.
XC90 lipo comfortable balaa barabarani. Ni nzuri kama una familia kubwa kwa kuwa ni 7 seater, na hadi siti za nyuma zipo comfortable.

Cheki review ya carwow ya XC90

Review ya twin engine t8

Na carwow comparative review ya 7 seaters: XC90, Q7 na Discovery ya 2018

Go for it. Sema mimi siyo mpenzi wa petrol engine. Napenda diesel engine inavyolia. Toka nimetumia XC90, sitaki gari nyingine kabisa. Labda siku nikiweza kununua RS6 tu.
 
Expensive ukilinganisha na gari zipi? Maana ukilinganisha na luxury car brands, Volvo ni the cheapest.

Volvo wapo conscious na mazingira sana. Gari nyingi kama si zote za kuanzia 2015 kuja juu, CC ni ndogo ukilinganisha na washindani wake. Kwa mfano XC90 sasa zinatoka na CC 1969 na 4 cylinders. Ila zinakuwa na horsepower ya 232 na 0-60 in 7.4 seconds. Hii ni diesel engine...
Nipo kwenye mixed feelings.

Binafsi napenda zaidi petrol engines.

Ila kwakuwa napenda kuwa unique, nitaifikiria hii gari.

It's beautiful afterall.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipo kwenye mixed feelings.

Binafsi napenda zaidi petrol engines.

Ila kwakuwa napenda kuwa unique, nitaifikiria hii gari.

It's beautiful afterall.

Sent using Jamii Forums mobile app
Chukua, hautojutia. Kama upo ‘Minazini’, siku hizi kuna mafundi wa kuweza kuzi-service gari za namna hiyo.
 
Chukua, hautojutia. Kama upo ‘Minazini’, siku hizi kuna mafundi wa kuweza kuzi-service gari za namna hiyo.
Mafundi wa Europe cars wa hapa bongo wanaringa sana. Wanajiona wako wachache ndio maana
 
Infiniti Qx80 2018,Range Rover Velar,Audi Q7 2015 and Mercedes Benz S550 2010...
 
Oshkosh M-ATV
Land rover defender
Mercedes Benz G- class
BMW x6
Land cruiser mkonga
Dodge Ram
Chevrolet Silverado
Ford F series
 
Dodge ndio ndinga la ndoto zangu sijui lini nitazipata?!
IMG_2781.JPG
 
Expensive ukilinganisha na gari zipi? Maana ukilinganisha na luxury car brands, Volvo ni the cheapest.

Volvo wapo conscious na mazingira sana. Gari nyingi kama si zote za kuanzia 2015 kuja juu, CC ni ndogo ukilinganisha na washindani wake. Kwa mfano XC90 sasa zinatoka na CC 1969 na 4 cylinders. Ila zinakuwa na horsepower ya 232 na 0-60 in 7.4 seconds. Hii ni diesel engine.

Kwa wastani mafuta ni kati ya 12-13 litres/km...
Naitaka XC 90 You Mkuu ya mwaka 2011. Bei zake zikoje mpaka unaipata?
 
Back
Top Bottom