Ni magari gani manne (4) utanunua endapo utakuwa na uwezo?

Ni magari gani manne (4) utanunua endapo utakuwa na uwezo?

1. BMW X7
2. BMW 7 Series 760Li
3. Brabus G wagon
4. Tesla Model SP100d
5. GMC Yukon Denali
6. Koenigsegg Gemera
 
Attachments

  • images (1).jpeg
    images (1).jpeg
    29.4 KB · Views: 11
  • 7 series.jpg
    7 series.jpg
    32 KB · Views: 10
  • Brabus G.jpg
    Brabus G.jpg
    131.9 KB · Views: 7
  • Tesla model s.jpg
    Tesla model s.jpg
    81.4 KB · Views: 8
  • Gmc yukon denali.jpg
    Gmc yukon denali.jpg
    19.3 KB · Views: 9
  • Gemera.jpg
    Gemera.jpg
    76.5 KB · Views: 8
1. Range Rover
2. BMW M5
3. Bentley Continental GT
4. VW Amarok
 
Tufanye ndio umetoboa maisha tobotobo una mawe sana, ni gari gani nne uta-Prefer kununua unazozikubali.

Mimi ni hizi
1) BMW X6
2) Range Rover Vorgue
3) Landrover Discover 4
4) Ford Ranger

Zote New Model.
Lamborghini
 
Abee!! Mdogo wangu hebu taja yako nikuige. [emoji28]

Mana dada yako nipo nyuma huwa nayajua vitz na passo tu. [emoji85]
[emoji38][emoji38][emoji38]
Nimeona nikutag dada mambo yako
Usipitwe, yangu ya kawaida tuu tuchukue tu madini kutoka kwa wadau
Nishakuchua BMW i8 na G63 Mercedes Benz tafuta na Wewe useme lipi mana Mpk pich wanatuma [emoji1787][emoji1787]
 
Miye sina makuu, nisingependa kudream ndoto ambayo kimsingi ni unrealistic kuja kui accomplish...au itachukua miaka 50 kuikamilisha. Hapana
Dream yangu and of course is going to take off very soon ni BMW X3 ya mwaka 2005 siyo mbaya.
Sababu
1. Limekaa kiume zaidi (kwa mtazamo wangu) kuliko hata hayo ma X5
2.Ideal peformance vs Normal engine 2.5i
3.All wheel drive
4.Comfortability and durability hapo ndo kwake
5.Bila kusahau kama wewe ni mzee wa ma speed, li Beemer X3 halikuangushi
 
Sijui magari sina uzoefu nayo ila natamani Yale magari yanafunuka juu yaan nikiliona lazma nisimame kwanza mbka lipite ndo niendelee na mambo yangu.
Najua yapo ya aina io mengi ila mi kama linafunuka juu tuu basi linanifaa.

Kwa wedding yangu nadhan nitatumia hilo nitadrive mwenyewe mister atakaa pembeni.
 
Tufanye ndio umetoboa maisha tobotobo una mawe sana, ni gari gani nne uta-Prefer kununua unazozikubali.

Mimi ni hizi
1) BMW X6
2) Range Rover Vorgue
3) Landrover Discover 4
4) Ford Ranger

Zote New Model.
UtaiachaJe Toyota gari ambayo spare parts zake zinapatikana mpaka chooni ?! Hayo mengine unayoyapenda spare parts mpaka za kuagiza !!

Odhis *
 
Sijui magari sina uzoefu nayo ila natamani Yale magari yanafunuka juu yaan nikiliona lazma nisimame kwanza mbka lipite ndo niendelee na mambo yangu.
Najua yapo ya aina io mengi ila mi kama linafunuka juu tuu basi linanifaa.

Kwa wedding yangu nadhan nitatumia hilo nitadrive mwenyewe mister atakaa pembeni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji38][emoji38][emoji38]
Nimeona nikutag dada mambo yako
Usipitwe, yangu ya kawaida tuu tuchukue tu madini kutoka kwa wadau
Nishakuchua BMW i8 na G63 Mercedes Benz tafuta na Wewe useme lipi mana Mpk pich wanatuma [emoji1787][emoji1787]
Usijali Mdogo unajua tena maisha yenyewe ndio haya haya wacha tu hata tuendeshe magari kwa macho tu. 😂

Kuna Mpicha umerushwa hapo juu ngoja nikaone ule mgari unaitwaje nadhano utanifaa. Teh.
 
1. Audi RS6 Avant
2. Volvo XC90 B5 R-Design
3. Volvo S90 PowerPulse R-Design
4. Volvo V90CC PowerPulse
 
Usijali Mdogo unajua tena maisha yenyewe ndio haya haya wacha tu hata tuendeshe magari kwa macho tu. [emoji23]

Kuna Mpicha umerushwa hapo juu ngoja nikaone ule mgari unaitwaje nadhano utanifaa. Teh.

Hello No Dada tujipinde ata tukope liwe letu
Tuwe tunaendesha kwa zamu zamu [emoji38][emoji38][emoji38]
.
Uangalie huo mpicha nione[emoji1787][emoji1787]

Mdogo wangu mwenzetu huyu. Ye anataka linalofunuka juu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji38][emoji38][emoji38]Yanaitwa Convertible nadhani
 
Hello No Dada tujipinde ata tukope liwe letu
Tuwe tunaendesha kwa zamu zamu [emoji38][emoji38][emoji38]
Ewaaaa. Hapo sawa Mdogo wangu hebu corona ipite tufanye mchakato aisee mana tusiishie kuyasikia tu haya magari tuanze hata na ya bei ya kawaida haya mengine yatafuata 😀😀. Tutaendesha Zam zam kama usemavyo. 🤣
[emoji38][emoji38][emoji38]Yanaitwa Convertible nadhani
Ila uko vizuri bana. Mi yale naishiaga kuyaona kwenye TV tu na nayaitaga hivyo hivyo magari ya kufunuka kumbe yana jina lake. Lol 😂😂😂
 
Ewaaaa. Hapo sawa Mdogo wangu hebu corona ipite tufanye mchakato aisee mana tusiishie kuyasikia tu haya magari tuanze hata na ya bei ya kawaida haya mengine yatafuata [emoji3][emoji3]. Tutaendesha Zam zam kama usemavyo. [emoji1787] Ila uko vizuri bana. Mi yale naishiaga kuyaona kwenye TV tu na nayaitaga hivyo hivyo magari ya kufunuka kumbe yana jina lake. Lol [emoji23][emoji23][emoji23]

Uliposema Ewaaaa umenip Bichwa nimejiona Nina miakili [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haki ya Nani ata ule tu-starlet tudogo dogo twa million hizo[emoji111] inafaa Alaf tunafunga bonge la Mziki [emoji38]
.
Sister bhana Naam kuyajua tuu niko vizuri kweli [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Siunaona Chuma hapo Avatar imetulia yakuitwa LC ZX_R V8
 
Hahahaaa. Ako ako tu kastarlet kanafaa kabisaa.

Uwiiii. Huo mgari hapo kwenye Avatar yabidi tuwe wavumilivu mana kuupata si sasa.
 
Back
Top Bottom