curtis jr2
JF-Expert Member
- Dec 22, 2016
- 770
- 4,618
Mkuu uwe unataja mwaka maana New Model ya Bongo ni 2010...Tufanye ndio umetoboa maisha tobotobo una mawe sana, ni gari gani nne uta-Prefer kununua unazozikubali.
Mimi ni hizi
1) BMW X6
2) Range Rover Vorgue
3) Landrover Discover 4
4) Ford Ranger
Zote New Model.
Picha mkuu mm nna kibunda labda linaweza kunivutiaHaya ma GMC ya ki FBI siku nikonusa mkwanja mwingi la zima niichukue .