Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo yakoje hayo, ngoja nijaribu kuyasoma pengine naweza kupata dream car ingine hapa
Huwa nayaona kwenye movie za ki FBI na secret service ya USA..
Kwamba mkuu dream car yako ni vits..Wa vitz tuna koment wapi?
Kwamba mkuu dream car yako ni vits..
Maana hapa tunaongelea dreams sio mkwanja tulionao mfukoni😂
Niliyoona jina akiri ikanipeleka huku bakweli, hizi zindio zile ziko kwenye movie moja inaaitwa SWAT... Humo SWAT wanavamiwa kuna Michael J White starring awo maadui wanakuja na gari hizi kama 50 nilizielewa zipo Cool sana.
Hakuna ndinga kama hii![emoji4][emoji4][emoji4] View attachment 1415416
Ni kweli ila hakuna aliwai kuwa na ndoto kama hiyo kamwe ni uchumi tu ndio ukufunge.Ndoto hutofautiana ukubwa mkuu.
Zinaenda ngapi hizi.Gari la ndoto yangu,Inshallah siku moja nitalimiliki hili nikiwa ndani ya ardhi ya Tanzania 👏🤲,aluta continua
Ni kweli ila hakuna aliwai kuwa na ndoto kama hiyo kamwe ni uchumi tu ndio ukufunge.
Kama umeona video ya koffi olomide ( papa ngwasuma) lipo mleNdiyo yakoje hayo, ngoja nijaribu kuyasoma pengine naweza kupata dream car ingine hapa
Haha daahNakuhakikishia mkuu, kuna watu ni maskini hata wa kuwaza. Wanahisi uvivu mpk kuwaza tu